Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Ila hii apps ya jf ni mbaya, sijaipenda hii mpya jf apps
 
Ila max alisimama na jf kipindi kile, mi naona si vema kumlaumu...... Aliweka knde rehani kutetea wanachama.
 
kutoa mawazo tofauti sio uhalifu ila kujaribu kuyazuia ndio uhalifu
 
Huyo mmiliki wa jf max some time huwa ni kiburi sana ana dharau sana member wa JF
Ni lini Max amemdharau mtu humu?

Wakati tunatowa pesa zetu kuichangia JF kama Max alivyotuomba ili JF ijitegemee haikuwa na ufadhili wala matangazo yoyote ya kuiendesha JF wewe ulikuwa wapi? Au ulikuwa unamiliki Nokia Kitochi?

Jinga kabisa.
 
Moja ya watu wanaotazamwa kwa karibu sana kimataifa ni huyo bwana melo. Sasa wana mtandao wakijichanganya hapo wataona kitakachotokea.
Ni kama mbwa kichaa kakata kamba ang’ata hadi anaempa chakula, wanamtandao wakiamua lao hata waambiwe huyo ndo Mungu mwenyewe wataenda mla kichwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…