Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Watu na feki ID JF lakini bado wnaogopa kama nini. Bado hawajiamini wanaona feki IDz zao ni kama real. Huu woga wa watanganyika sijui ulitoka wapi? Nakumbuka kauli ya mzee Butiku naishia kusema moyoni tu hiiiiiii watanzania ni maiti zinazotembea hawajui wanachokitaka wala kukipigania kwa njia yoyote ile wapowapo tu kama misukule!
 

TOKA MAKTABA,:

22 November 2019
Maxence Melo Mubyazi, founder of Jamii Forums in Tanzania, receives the 2019 International Press Freedom Award.


View: https://m.youtube.com/watch?v=KW1VvETj960Maxence Melo Mubyazi, founder of Jamii Forums in Tanzania, receives the 2019 International Press Freedom Award.
Source : Committee to Protect Journalists
 
Watu na feki ID JF lakini bado wnaogopa kama nini. Bado hawajiamini wanaona feki IDz zao ni kama real. Huu woga wa watanganyika sijui ulitoka wapi? Nakumbuka kauli ya mzee Butiku !
Yaani nimeshindwa kuelewa...
Wengine wanamfikia Britanicca na kuanza kumnanga.. wakati ndio walikuwa wasomaji wakubwa wa nyuzi zake...

Hata Melo leo nimemkubli ame resist kwa kulaani hiko kitendo...

Humu ndani ma freedom fighters wachache sana.. hamna kitu humu..
 
Mimi nasubiria andiko reeeefu kutoka kwa Bwana Lucas Mwashambwa akipongeza vyombo vya usalama kwa uvamizi huo
 
Tatizo JF na Melo walianza kujisahau awamu hii, wakawa kama wanafanya mapambio na kuunga juhudi..wakahis kigo cha Magu nfo meidho wa yote....wakaw had wanafuta nyuzi ukikosoa awamu hii..yako wapi? Huu ni mwanzo tu. Ndo maana watu wanataka mabadiliko ya kweli ys katiba.
 
Mbona kama umechanganyikiwa magufuli ameshakufa unamuongelea unaogopa utawala uliopo au mitanzania mioga sana aisee
Akina Hitler, Mussolin, Amin nk hadi leo tunawaongelea boss wangu. Itakuwa dhalimu magu?
 
Siamini kuwa serikali inaweza kufanya hivyo huenda ikawa wahuni tu, ngoja tusubili POLISI watasema nini.
Angalizo Tuache uzushi na matusi Ili tuendelee kulifurahia jukwaa letu
 
Acha watutawale hadi mwisho wa dunia, maana tueamua kuwa hivi...
Mtandaoni u umoja hakuna, hivi huko wanapoambiwa watokee road 🀣 .. hakuna mtu atatanguliza hata mbuzi..
halafu sasa hivi PT nao wana mikwara balaa na yale magari kama Land Cruiser meusi juu yana machine gun 🀣

Aisee Lissu ana kazi.. kupambania umma kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…