Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Weka mahali popote ninaposifia utawala huu. Au unataka niwe nakutag ww nikiongelea hawa majizi?
We ni muoga full stop endelea kuisema maiti iliyokwisha oza huku ukijinyea Kwa uoga kwenye utawala ulipo maana ndio ushindi wa muoga siku zote na hii ndio mambo ccm wanapenda
 
Ngumu sana, sasa hivi misukule ya chadema itakuwa iko chini ya uvungu, muda wowote wanaingia stoo
Nyie wapuuzi ndio maana mnabebwa kwenye malori kama mahindi, akili hamna..

Mafuriko yape njia yapite, huwezi kuzuia, utajenga ukuta lakini utabomolewa tu...

Wakati ukifika umefika..
 
Mbona kama umechanganyikiwa magufuli ameshakufa unamuongelea unaogopa utawala uliopo au mitanzania mioga sana aisee
Kajasiri mchwala kanajificha kameshindwa kusemea waliopo kana mfuata marehemu


Deal of million dollars, kwishaaa
 
Ndo mkuu kama wewe tu unavoamini kuwa ni hadithi tu, au unataka kila mtu awe kama wewe mkuu.
Hujaweza kuthibitisha kwamba si hadithi.

Sitaki kila mtu awe kama mimi, nataka tujue ukweli ni upi na hadithi za kuungaunga ni zipi.

Ukiamua kuamini hadithi nitatetea haki yako ya kuamini hadithi hata kama mimi siziamini.

Lakini tuzijue hizi ni hadithi za kuungaunga tu.

Una haki ya kikatiba na kibinadamu kuziamini hadithi hizo. Mtu yeyote akiingilia haki hiyo nitakusaidia kuilinda.
 
Ndugu YANGU USIJE Fanya jambo eti watz wako nyuma yako nakutadhaharisha stand at your own marehemu mengi aliwahi sema, wanasema tuko nyuma yako ukigeuka huwaoni


Deal of million dollars, kwishaaaaa
 
Mkuu lakini sinili kuambia kuwa watz ni benders fata upepo?
Ndo maana huwa sipotezi muda wangu kuwalaumu wana siasa walio amua kuacha kupigaia watz na kuungana na watawala kulamba asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…