Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Huyo Me mwenyewe ni walewale siku hizi Mods wake Kila siku wanafuta Threads Ambazo haziizungumzii vizuri serikali may be wamechelewesha pay roll yake ndomana leo ametoka hadharani anabweka
 
Msigwa kasema ni maofisa walipeleka wito, japo hajasema ni maofisa wa idara gani. Kaomba Max atoe ushirikiano. 😆😆
 
Dunia ya sasa ni ngumu kujifanya mjinga ilihali una akili timamu....
 
Sawa kama ni mawazo yako yanaweza kuwa ni sahihi ama yasiwe sahihi. Mawazo yako yanaweza yasiwe na solid foundation na ndio maana nilisema kuna haja ya kuvalidate ulichokisema. Sasa huna fact za ushahidi wa ulichoongea kama ni kweli ama la. An opinion becomes valid not just because it’s yours, but because it is supported by truth, reason, and evidence.
 
Nimewaza hivyo.Watu wasije wakajiachia mazimamazima.Iyee.
Wameamua kumsaficha.. tangu issue za thread zakina Rostam, polepole na za kuishambua Gvt kufutwa watu wakawa n waswas na baash ya bahasha kupita huko.. ndio maana wakaja na hiyo movie
 
Wameamua kumsaficha.. tangu issue za thread zakina Rostam, polepole na za kuishambua Gvt kufutwa watu wakawa n waswas na baash ya bahasha kupita huko.. ndio maana wakaja na hiyo movie
Mi nimefikiria sana,niishie tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…