Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Na rudia tena kusomba watu kwenye maroli na kuwapeleka mikutanoni ni utamaduni wa ccm tangu mwaka 2010 hivyo katika hilo hamtakiwi kumlaumu kwa chochote.
Alafu sio busara kuita binadamu wenzako ngombe eti kwa sababu wana amini au wanapenda itikadi tofauti na unayo penda ww?
Kama ww unavyo jiona una haki ya kutoipenda ccm basi na wao wana haki ya kuipenda ccm.
Hivi hiyo demokrasia mnayo shinda mnaidai mbona hamna uwezo wa kuiishi?
 
Is that requirement not confined to tax issues?
 
Wafungue ofisi kenya, Iwe ndo HQ.

Hakuna mtu wa kufunga JF, Wakifunga tunatumia VPN
 
Ulifanya ziara JF wakakuonesha camera walizoweka chini?
Kuna Kitu umesahau au labda hukijui, JF ilishanipa tuzo ya Mwandishi bora wa Jukwaa la Siasa baada ya kuwagalagaza mamluki wa ccm akiwemo Mayalla , nilisafiri kutoka Ottawa hadi DSM kuchukua tuzo hiyo ofisini kwao.

Sijui kama unanielewa
 
Ukaona camera za siri zimewekwa sakafuni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…