unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Mzee anaezeeka vibaya imagine hata ccm wenzake walimkataa kule kigamboni wakampa kura moja tu tafsiri yake ni kwamba haaminiki. Freelancer mavi.
Relax 😜Kwanini JF INA WATOTO WENGI HIVI. Katoa hoja zake sio msahafu. Heshimuni uhuru wa mtu. Acheni kushambulia personality yake na uhuru Wake wa „dare to speak“
Wachangiaji wa aina yenu Sijui Kwanini mko hapa na Utaskia mnadai katiba mpya.
Hizo threads si alizianzisha wakati MSUKUMA mwenzie anaongoza nchi?Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!.
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Huyo Pascal ni Mccm,huwa hawana mshipa wa aibu.Atakuja kivingine na utamsikia akiisifu CCM kwa kukubali mchakato wa Katiba Mpya.Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!.
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Opportunist maarufu ndani ya JF.Amedakishwa??
Unajua mtu akijitoa ufahamu anakuwa kama kahaba tu hana aibu wala hajui vibaya. Bado anakazia msimamo wake na kuiona Mahakama kuwa imekuwa kipofu.Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!.
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Nakumbuka kuna mwaka alikuletea za kuleta ukamkumbushia ishu ileeee,alikuwa mdogo kama pirton,hajawahi kukugusa tena na ndiyo nikathibitisha kumbe ile ishu ilikuwa kweli maana awali nilijua watu walikuwa wanataka kumchafua tu.Ndiyo maana ya ule msemo kuwa ukiishi nyumba ya kioo usianze kuwarushia watu madogo kwani wakianza kukujibu kwa kurushia mawe utalala nje.Ukiona Mtu 'anadharauliwa' mno na GENTAMYCINE hapa Jamvini ( JamiiForums ) jua ni 'damn Fool' na wala usinishangae kwa hili kwani wengine tuna hadi 'dossiers' zao Mkuu.
Duh!!!andio akawa bogus kuliko hata Suphian Juma yule kijana wa Zitto na marehemu Seif
Anamwaga likes kama zoteMain Character wa Uzi ameshaamka na kumbe anausoma....KJ bhana.....!!!!
Huku akiwa na Usununu ( Uchungu wa Hasira ) wa Sindano Moyoni mwake.Anamwaga likes kama zote
Hapo nakupinga uhuni ulifanyika na nani ? Maana chadema walivulugana wenyewe kwa wenyewe ...je kilicho zuia chadema kufanya waliyo fanya sasa ya kuitisha mkutano wa chama na kuwafuta ni nini hadi wakangoja huu mwaka. Mbowe ni muhuni sana hao wakina mdee ni wake zake ndiyo maana yote hayo yanatokea .... kuna msemo wanasema ukitembea na mfanyakazi wako jua unaialibu ofisi yako ....icho ndiyo kilicho tokeaNina wasi wasi sana na Paskali.
Mizania yake ya kuyapima mambo inazidi kuporomoka
.
Mimi mwana CCM lakini huwezi mtu kusapoti uhuni uliofanyika kuwaingiza kina Mdee bungeni.
Uhuni uliofanyika ni sawasawa nakuisigina katiba.
Usihofu
Uwa hakosi threads za kujidifensia
Anazo nyingi tu zilizokuwa akiwapondea akina Mdee
Tujikite katika mlolongo wa katiba, kisheria na natural justice.Hapo nakupinga uhuni ulifanyika na nani ? Maana chadema walivulugana wenyewe kwa wenyewe ...je kilicho zuia chadema kufanya waliyo fanya sasa ya kuitisha mkutano wa chama na kuwafuta ni nini hadi wakangoja huu mwaka. Mbowe ni muhuni sana hao wakina mdee ni wake zake ndiyo maana yote hayo yanatokea .... kuna msemo wanasema ukitembea na mfanyakazi wako jua unaialibu ofisi tako ....icho ndiyo kilicho tokea
Hapo nakupinga uhuni ulifanyika na nani ? Maana chadema walivulugana wenyewe kwa wenyewe ...je kilicho zuia chadema kufanya waliyo fanya sasa ya kuitisha mkutano wa chama na kuwafuta ni nini hadi wakangoja huu mwaka. Mbowe ni muhuni sana hao wakina mdee ni wake zake ndiyo maana yote hayo yanatokea .... kuna msemo wanasema ukitembea na mfanyakazi wako jua unaialibu ofisi tako ....icho ndiyo kilicho tokea
Na mimi nikuulize hao hakina mdee walikuwa ccm au chadema ? Kama ni chadema basi jua uhuni ulifanya ndani ya chadema yenyewe ndiyo maana chadema kiliweza kuchukua hatua ya pili waliyo chukua sasa ...ila walichelewa kuchukua hiyo hatua ...kama nilivyo sema wakina mdee ni wake zao huko chadema ....kuhusu kuto kupeleka majini swali tufanye hakupeleka sasa kama hakupeleka kwanini kina mdee wasinge kataa hizo nafasi ..hivyo ingejulikana kuwa tatizo siyo ndani ya chadema ...ilikuwaje majina yaende kifigisu na waliokwenye hayo majina wakubali hizo figisu kwa kukubali ubungeTujikite katika mlolongo wa katiba, kisheria na natural justice.
Toka awali katibu mkuu CHADEMA yuko on record kukataa kuwa hakupeleka majina wa wateuliwa viti maalu, wanawake, huko NEC.
SASA NIKUULIZE WEWE-NEC waliyapata wapi hayo majina!
Pili hakuna kikao cha CHADEMA kilikaa kuwateua, walijiteuaje?
Jiulize hayo ya msingi na utajua tu, kwa vile una akili za kukutosha, kujua forgry ilitoka wapi.