Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

Kipindi cha Mayele mchezaji aliyekuwa mzuri alikuwa Baleke.

TP Mazembe ni washenzi sana, kufanya vibaya kwa Simba kumechangiwa pia na TP Mazembe kwa kukataa Baleke kuendelea kubaki Simba.
Kivipi hiyo sijaelewa kivipi kubaki ka baleke kumeipoteza simba?
 
huyo ni fungu la kukosa, huko uarabuni fedha zipo ila furaha kwa ngozi nyeusi hakuna.
 
Hili nakubaliana na wewe, hata ishu ya kina bangala na djuma shabani nadhani sababu ni hiyo.
 
Yanga ni aibu hii..hivi mnajiona mpo sawa.???
Yanga tupo sawa sana hata uwanjani tunathibitisha hilo.
hana adabu,hana heshima,hana shukrani,eti nilikosea kucheza tanzania,,!huyu asuingie tena nchi hii,kama ana watu na vitu aliacha hapa aje kuvichukua,hata huyo kibaraka wake yasmin ambae nae katukanwa,kama zinamtosha ataachana nae
Hana adabu kabisa huyu mtoto.
 
Labda sijaeleweka. Sikumaanisha kuipenda timu kama Mrisho Ngassa alivyoipenda Yanga, bali nilimaanisha hakuwa anaipenda Yanga kutokana na waliyomfanyia kwenye mkataba.
Kuhusu mkataba ni uzembe wake mwenyewe kwakuwa hakulazimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…