Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Kwa hiyo mpaka mabalaa waliyo washa kimataifa walicheza na.wabavu kutoka mataifa mengine..?
 
Mnaongea sana na huyu Manywele wenu. Nyie si mlicheza na rivers utd. ikawaje?

Bakisheni maneno msimu ujao kuanzia august mtakuwa Champions league si yetu macho.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mayele na baadhi ya proffesinal players wa YANGA hawakuruhusiwa kucheza
 
Huo ubora wa mapele mbona hatuoni huko CAF kwa waliobora..?
 
Kwani hiyo miaka 4 matokeo ya simba yalikua yanaamuliwa na nani..? Wewe ndo ulifunga yale magoli ya bocco +kagere nk na kombe ukawaletea wana lunyasi..?
Kwanin saiz hawafung Kama msimu uliopita
 
Subirni msimu ujao kombe la CAF linakuja champions.....na hatuendi shirikisho li
Labda CUF ya lipumba. Maaibu yatakayolipata hili taifa tupo. Acha tutunze nguvu za kuja kuwabaragua hapa. Tuombeane uzima tu
 
Inonga huyu huyu wa huko CAF ..? Aliye mfuta uwanjani siku.ile na akamsindikiza kabsa mwali.wake... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2957]
Alifurahi kuona mtu anaewasumbua anatoka
 
Kwanin saiz hawafung Kama msimu uliopita
Mwili pia unachoka na nyakati zinabadilika kila siku huwezi kupata wewe tu. Acha kina mapele nao wapate mwaka mmoja. Sasa kwa taarifa yako mapele ni sawa tu na molinga
 
Hivi siku ile alicheza kweli maana sio kufichwa kule mpaka kuzalilishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo swali nadhan aulizwe babu onyango.....aliyelala Hadi kutema ulimi nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…