Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Kwa hiyo mpaka mabalaa waliyo washa kimataifa walicheza na.wabavu kutoka mataifa mengine..?Yaaah Hilo sijapinga mkuu.....kagere na Bocco walikuwa Bora Sana.......Ila walikuwa Bora mbele ya wabovu
Nadhani umewahi shuhudia ...unaweza kuwa unaongoza shuleni .....lakn mkienda kwenye mitihani ya mock ......unakuta yule kipanga wenu yupo nafasi ya 20
That's y nasema inawezekana Hawa ndugu walikuwa Bora mbele ya wabovu
Kama wako poa ......Basi walete competition kipind hiki ligue ngumu