mkuu Globu si lazima waje watajwa tu kwani hatuwezi kuwa-tag wana JF wote kwakuwa hatujui ujuzi wao juu ya hili jambo na ndio maana mwishoni nikamalizia na kusema wooooote wakaribie kujadili,
hata wewe pia kama unajua unaweza kusogea hapa na kuchangia chochote kwa ajiri ya wanaJF
thanks
.made in mby city.
hatari, mkuu hebu nipe hii elimu ya kulink unafanyaje, yaani mtu anasema bofya hapa halafu unapelekwa.
kwanini unazani kila mtu ana amini uchawi ?
kama kila trick ni uchawi basi hata mtu akipiga trick papuchi ya my wife wako(gegedo) basi ni mchawi eti eeeh ?
.nenda YouTube, tubidy na kwingineko tafuta CLIPS za mtu mmoja anaitwa DYNAMO MAGICIAN uone zile tricks za kitoto kabisa ambazo ww unaita uchawi
nenda google ukapate mafunzo ya kufanya hizo mambo
fanya utafiti mkuu acha uvivu na kubisha pasipo hoja zenye mashiko, google will be your best friend for this one mkuu
.made in mby city.
Uchawi ni uchawi tu wether its simple or complex hakunacha tricks wala magic
Home boy asante kwa mchango wako ila bado kuna walakini, kuna mazingaombwe ambayo ni mind tricks kweli ila kuna mengine yanaonekana kuwa zaidi ya hapo mf. michezo ya karata na coins hizo ni mind tricks lakini linapokuja swala la mtu kukatwa kichwa au simu kubadirishwa kuwa sahani na mtu akaweza kwenda nayo nyumbani kwake kulia chakula hapo kuna tricks zaidi au nguvu zaidi...
Home boy naomba niseme kwamba mimi nimeongelea kitu nlichowahi kukiona kwa macho yangu na nika-conclude kuwa ni uchawi lakini nilipokuja kupata ka-elimu kaduchu tu kuhusu iyo mambo nikahamaki kuwa kumbe ni ka mchezo ka kitooto
kwa mf. Kubadilisha kitambaa na kuwa ua rose alafu nampatia mchumba faizafoxy, simu kuingizwa kwenye chupa, kuichanga/kuchangisha simu kama play cards na tu trick twingine tu dogodogo nimefahamu
ila kama Mkuu Kiranga anavyopenda kusema "hata kama sijui square root ya 2 then isiwe kigezo cha kuniambia 8 ndiyo jibu"
hivyo viini macho vingine mimi sijui inakuaje, na kama sijui inakuaje basi usinilazimishe niamini kwa jibu lolote lile eti kisa sifahamu hicho kitu, kisa sifahamu hivyo viini macho vingine vinakuaje kuaje basi usiniambie lazima uchawi utakuwa unahusika hapo, hapa jukwaani watu wajaribu kutoa concrete hoja ili nikubali kirahisi na si kusingizia uchawi tuuuuuu bila hoja tu
.made in mby city's.
jaribu ku-search uzi mmoja unaitwa JF MOBILE USER nazani wameelekeza vizuri jinsi ya kufanya mambo kama hizi na nyingine nyingi mkuu
nenda ukapate elimu kule mkuu
tunashukuru JF elimu ni bureeee
.made in mby city.
Mazingaombwe sio uchawi
Mazingaombwe ni illusion tu,mtu anakufanya uone jambo fulani limetokea kumbe halijatokea ila anachofanya ni ujanja tu bila kutuma nguvu yoyote ile
Uchawi is something diferent kabisa
Uchawi ni nguvu hasi ambayo ina chanzo kabiaa na nguvu hii hutumika kidhuru wengine!
Uchawi ni uchawi tu wether its simple or complex hakunacha tricks wala magic
Nakusoma home boy, kama nilivyosema mimi mwenyewe ni mgumu kuamini mambo ya uchawi kama siamini kabisa na wala sitaki kusema moja moja kwamba "mazingaombwe makubwa" ni uchawi. Bado swali linabaki mazingaombwe ni nini? Nakubali kuna mind tricks ila kuna tricks zingine zinaonekana kufanywa na nguvu ya ziada- nguvu ya ziadi ni nini sijui.
ni kweli home boy mambo mengine siyo ya kuyapa imani kubwa bila hata kufanya ka utafiti kadogo tu
haya mambo ya mazingaombwe inafikia wakati wakati unabaki na swali tu bila jibu kamili
mf. ile trick ya kutembea juu ya maji au kulala hewani lazma ubaki na maswali elfu kidogo
kuna link nimeisahau ilipo ila nkikumbuka tutashare pamoja jinsi wanavyofanya zile tricks
.made in mby city.
Mazingaombwe sio uchawi
Mazingaombwe ni illusion tu,mtu anakufanya uone jambo fulani limetokea kumbe halijatokea ila anachofanya ni ujanja tu bila kutuma nguvu yoyote ile
Uchawi is something diferent kabisa
Uchawi ni nguvu hasi ambayo ina chanzo kabiaa na nguvu hii hutumika kidhuru wengine!
Halafu ni kama hawa wana mazingaombwe hawataki tujue mbinu zao kiundani, ukiuliza au kufuatilia unakuta habari za mazingaombwe yale rahisi rahisi tu (mind tricks) ila yale "mazingaombwe haswa" hawagusii
ki vp kaka? mtu kashika kitambaa af kinageuka kuwa njiwa,,em tuambieni ht trick 1 basi
nina imani watakuja wenye elimu kubwa hapa kuhusu hili jambo
.
karibuni Rakims, 1701, Juve, Falsafa, free ideas, greencity, Kongosho, King-kong, HandsomeBabu, armi, Wickaman, C.T.U, Shylang n.k.
.made in mby city.