Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?


well said home boy

.made in mby city.
 
Ni uchawi tu hakuna tricks hapo

bila shaka hata wewe ni mchawi kwani nimeshawai kusikia wanasema wachawi wanajuana vyema

akili fupi sikuzote zinapenda majibu ya mkato kama ilivyo akili yako
ukiambiwa thibitisha uchawi ukwapi hapo unabaki unatoa povu tu

made in mby city.
 
Mazingaombwe ni michezo ya kichawi ya kubadilisha macho ya watu kuona ndivyo sivyo;kwa kuwatumia majini au pepo maalum !
 
Walokole safi,wana uwezo kufunga kazi za mazingaombwe wanapokutanazo kwa amri katika jina la Yesu Kristo. {LUKA 1O:17-20
 

Please elezea vzur hyo trick inakuaje mf. Kuweka Simu kwenye chupa ni ujanja gan hapo unatumika?
 
Mazingaombwe haswa ni yapi? Zote ni tricks tu

Michezo ya cards, coins, kamba nyingi ni tricks tu unaweza check hata youtube kujua zaidi ila mf. kushika simu moja halafu ghafla zikatokea mbili au zaidi hayo ndo naita "mazingaombwe makubwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…