Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

Rostam ndio alisuluhisha na akawakutanisha maremu lowasa na marehemu magufuli na mambo yakaisha na akarudi CCM
Rostam ni mtu muhimu sana nchini na pia alikua na uhusiano mzuri na marehem lowasa.
 
Na pia tunauliza maandiko hayo kwenye huo mstari,yanahusiana vipi na msiba wa ndg yetu Edward Lowasa!? Kwamba kuna mahali Lowasa alimdhihaki Mungu,na amevuna mauti? Huyu betina vipi huyu!? Badala ya kutoa neno lenye faraja kwa familia anatoa neno la kuonya! Kwamba Lowasa alitenda Nini? Mchawi mkubwa huyu!
 
Uko sahihi kabisa. nami nimeshangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…