Mazishi ya Bilionea Sir Wicknell na Mke wake Lulu Chivayo

Pumbavu. Kipenzi chako wewe na Samia.
 
It's not that deep, give him a break.

Hakuna mtu asiyejua hichi unachokiongelea, tunakwenda na upepo tu. Tunaipamba hafla.

Wewe ndo umezidi userious.
 
Zingine zote hizi ni mbwembwe za binadamu tu. Ukishakufa umeshakufa. Uzikwe na dunia nzima kama Mandela. Uzikwe na greda la halmashauri kwa sababu huna ndugu. Uzikwe na watu watano kama Mzee Matola yule omba omba mashuhuri miaka ile. Hata ukiachwa uzodolewe na tai wenye njaa kali kule Serengeti au hata kuliwa na fisi huku wakiangua vicheko. Yote ni kazi bure tu! Watu watakula na kunywa. Wengine watatombana hapo hapo msibani. Baadaye watatawanyika. Na dunia itaendelea! 🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…