Mazishi ya Bilionea Sir Wicknell na Mke wake Lulu Chivayo

Ukweli jamaa amekata MOTO ,hana haja ya kujificha au kufake KIFO ili kukimbia Washirika wake waliompa MABILIONI.

Hata Ivan Ze Don mme wa Ze bosi ledi walisema hivyo hivyo ,hawana haja ya kufeki kwa MAPESA waliyonayo wanaweza kupambana na kesi hata miaka 100.
 
Salio limeisha kang"! Wale wengine wa huku wanasema Salio halitoshi.....
 
Huyo jamaa ana mpunga mrefu sana ,siku moja kabla ya kifo aliwazawadia mawakili wake mabilioni ya vitu vya thamani na cash.
Masharti ya Utajiri alokuwa nao ndo yalidai afanye hivyo. Hakufanya kwa hiari.
Kati ya watu bilioni 8 duniani nitakuwa wa mwisho kukubali kwamba Chivayo amefeki KIFO.
Kafa kweli. Asikudanganye mtu - Ngoma imelala hio.
 
Kipenzi chako wewe na nani!!???
 
Acha kujipendekeza! Kipenzi chenu wewe na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…