Mazishi ya Bilionea Sir Wicknell na Mke wake Lulu Chivayo

afrika tuna safari ndefu sana bado ...
Alitamani kuitwa Sir. km vile ambavyo watu fulani wanatamani kuitwa Doctor na hawajawahi kusomea Udaktari

Mwl. JK Nyerere alikua Mwalimu ndio maana aliitwa Mwalimu sasa kuna watu hata hawajui Udaktari upoje ila wanafurahia kuitwa Madaktari na hawana hata certificate of recognition from Doctors of the World
 
Kumbe wewe Kijakazi akili uliyo nayo haiendani kabisa na profile status yako.
man wewe ni "qualified journalist" halafu unamuita sir, really?
Haya wewe ambaye unamwambia hiyo kauli bwana Pascal Mayalla kuwa yeye ni “qualified journalist “ maana yako uko na uthibitisho huo kuwa yeye ni Qualified journalist right?
ni lini alikuwa ipopo-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake?
Ok,sawali lako limekaa kimtego na ninautegua badala ya kuteguliwa na huyo QUALIFIED JOURNALIST Ikiwa unapinga kuwa huyo BONGE hakuwa knighted by englis monarch

1.Ni qualified journalist wangapi kama Pascal Mayalla ambao wameandika magazeti kwa kumuita kwa jina SIR?

2.Je,hao journalist wanaokuletea habari hawako sawa katika uandishi wao kuliko wewe msomaji?

3.Ni kweli kwamba mtu kuitwa sir ni hadi awe a-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake?

kama wewe ungekuwa ni uneducated bongo movie, shehe mwaipopo, comedy, flava ningeelewa lkn wewe ni "highly educated" ni cream ya nchi halafu unakuwa unserious kiasi hicho?
Kwanza hongera kwa kuwaongelea lugha chafu wasanii wa KiBONGO.
Haya wewe high educated kwanini usijiite SIR?

afrika tuna safari ndefu sana bado
Mkuu,kwenye hili naunga mkono,ikiwa na wewe ni mmoja wao,anyway hukweli ni kwamba nothing change if nothing changes.Nadhani zipo mbinu na nyia nyingi sana za kulitoa bara la AFRICA upumbavuni.

SIR nimemaliza.
 
Poleni kwa kumpoteza kipenzi chenu.
 
Katika hali ya kawaida, kichwa hakiwezi kwenda popote bila kuwezeshwa na miguu.
 
Yeye ni mwingereza mpaka awe knighted (whatever that means) by English monarchy?
 
Yeye ni mwingereza mpaka awe knighted (whatever that means) by English monarchy?

lkn Sir inatumika tu kwa member wa commonwealth countries, ndiyo maana USA pmj na kwamba wanaongea english lkn mmarekani hawawezi kutumia Sir kwa maana USA siyo commonwealth lkn raia wa kanada, australia, nz, sa, tanzagiza, kenya na wengineo wote ambao ni wanachama wa commonwealth wanaweza kuwa knighted na english monarchy baada ya kutimiza vigezo na kutumia Sir kwenye majina yao na hilo nilitegemea "qualified journalist" alijue, i mean, huyu jamaa angeweza hata labda kufanya kazi cnn, aljazeera au any serious network, so sad ...
 

niwekee hapa any serious newspaper au media ata ya huko zimbamwe ambayo inatumia sir officially kwa chivayo, sir ni kwa waliokuwa knighted na english monarchy tu na kuna vigezo maalumu unatimiza halafu ndiyo unatunukiwa sir ni kama kwa mfano PhD hauwezi tu kuongeza dr. kwenye jina lako (ok well kuna vichaa wengi tanzagiza wanafanya hivyo) kama hauna PhD ndio mitaani watu watakuita dr kimchezo labda lkn hakuna serious media itakayao kuita officially dr. kama hauna PhD ...
 
Mbona PHD imechukua mjadala wa SIR?

Au na wewe ndio umemaliza.

Maswali yangu umeyaona?
 
Rafiki wa familia ya mama ni rafiki wa taifa 😩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…