Mazishi ya Bilionea Sir Wicknell na Mke wake Lulu Chivayo

Habari mkuu.Ni matumaini yangu unaendelea poa kabisa.MUNGU NI MWEMA.
Kila wakati.
Karibu kwenye mjadala.
Asante -Nimekaribia.
Eeeeh kwahiyo ameitwa SIR baada ya kufa kishujaa sio?
Sio. Kama sikosei Tunajadili uhalali wake wa kupewa tuzzo ya kuitwa Sir. Hivi mttu akifa kwa ajali huwa ni kufa kishujaa huko? Mbona wanaokufa kwa ajali ni wengi lakini haisemekani wamekufa kishujaa? Mtu aliyekufa katika mapambano ndo huitwa kafa kishujaa. Huyo alikuwa anapambania kitu gani/nini ili iwe ni halali kwake kuitwa amekufa kishujaa?
 
Kuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Vipi kuhusu yule James Temba aliyezikwa bila kichwa,nae alikua na laana?
Unaposema ni laana,ni laana kwa mujibu wa maandiko au ni fikra zako tu?

Vipi kuhusu wewe,unajijua kua utakufa kifo cha aina gani?

Simtetei huyo marehemu wala mtu yeyote yule ila nimeshangazwa na hiyo kauli yako,
 
Vitisho vimeharibu andiko lako zuri
 
Wameondoka wenyewe, kila kitu wameacha hapa duniani, hakika mali na ufahari ni batili tupu, kumbe tuishi na kufurahia tulicho nacho hata kama kidogo. Tusiumizane kwani hatujui tukitangulia wapendwa wetu tutakaowaacha watafanywaje na tuliowaumiza... sasa hiyo kampuni yake naskia ilkuwa haina bodi wala wakurugenzi..ni one stand man company, kafa na vyote vinakufa...wanaomdai waende msibani kuwataarifu ndugu zake, wamlipie madeni
 
Vipi kuhusu yule James Temba aliyezikwa bila kichwa,nae alikua na laana?
Kichwa chake kilitafutwa hadi kikapatikana. Kwa hiyo haikuwa laana tena.
Unaposema ni laana,ni laana kwa mujibu wa maandiko au ni fikra zako tu?
Kijamii jambo la kuzikwa bila kichwa linaacha maswali mengi sana na ndo mana sasa tunasikia ni kifo Fake n.k.
Vipi kuhusu wewe,unajijua kua utakufa kifo cha aina gani?
Hakuna yeyote aijuaye Hatma yake ila wote tunajua 100% tutakufa.
Simtetei huyo marehemu walamtu yeyote yule ila nimeshangazwa na hiyo kauli yako,
Usishangae kwani wahenga walisema: "Hujafa hujaumbika" Ni baada ya kifo chake ndo mambo yake mengi kumhusu yeye yanafunuliwa kwetu hadi hata ss wa huku Umasaini ndani-ndani huku tumeyafahamu na tunapata picha yake Halisi.
 
Kaka kwenye Uzi woteeeeeee 😁 😂 umeona dosari hiyo TU.

All in all, amani ya bwana itawale
 
Pole kwa aliyepoteza wawili ndani ya mwezi mmoja
 
Weeee usicheze na moto baba
Unajua wale wameamua kuchomwa wakifa?
Ndugu wanakabidhiwa majivu baada ya masaa mawili tu
 
Safi sana mkuu,

Maandishi hayo yanafanania na yale ya ATL alivyotoa pole kwa mjane wa taifa.

Binafsi unadhani ile pole iliyotoa mzee ATL ilikuwa inamaanisha kweli?

Sasa turudi kwenye mada yenyewe sasa.Kuandika kwangu hivyo kimaana ni tofauti kabisa.
Ingawa ukizingatia kiundani utagundua jambo ni la KISHUJAA kwasababu kabla ya kufa kwao ninaamini walitumia mbinu nuingi licha ya kushindwa.

Kunavitu vinahitaji uwezo wa kufikiri ili kuvielewa mfano MAANDISHI YA UJUMBE ULIOUTAG,tusichukulie kimazoeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…