Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By the way Sijawahi ona Rais aliyefanya mambo mengi mazuri Kwa Tzn kama Samia kuanzia Ajira Hadi BarabaraIfike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee.
Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha chuma bado ni mwanamke ila ndie Rais wetu.
Mama Samia hongera kwa kaz nzuri mambo mengine watanzania tutakuelewa baadae kama ambayo tuna funguka baada ya Magufuli kututoka.
Una lipambania Taifa na una nia njema japo wapo watakuona huna nia njema na Hilo ni muono wao ila unapambania watu wajamuhuri yako. Nakuona unaham Taifa liwe letu sote na tule cake yataifa sote. Hii ni nia njema japo sio sote tunaona. Wachache tunakupongeza.
Mh Rais pamoja na mazuri mengi unayafanya ila Kuna hisia hasi kuhusu mambo mengi ambayo hutokuwa wakwanza kuyafanya sema ni ile hali ya Uzanziberi. Mh. Rais harufu ya udini na Uzanziberi kwa sasa ndio Habari kidogo inavuma kwa speed ya upepo wa Catarina Yani Habari ya udini na Uzanziberi inaharibu mazuri mengi japo kila nikiangalia naona kama Sio wa kwanza hata Mwl. aliwahi ambiwa ameajiri wakatoliki well nivile utaliangalia nakulichukulia na kufanyia kazi.
Jambo la mwisho ni watu wako wakaribu kuonekana kukuchukulia poa sorry kutumia hii phrase ila namanisha uwajibikaji wa watumishi kidogo umelega japo naweza sema umelega kumbe una njia zako zakuwaadabisha.
Basi nikutakie majukumu mema na Kazi iyendelee kwa mkono wa Jamuhuri ya Tanzania.
Kihistoria Awamu zote zilikuwa na skendo za upigaji kwamfano Mzee "rukhsa" watu walikuwa wanapiga Mkapa watu walikuwa wanapiga kwahiyo hata kwa Samia mambo ni yale yale labda tuongelee kuwa tatizo ni CCM na sio gender ya kiongongozi.Sawa wanaume wengi ni wezi ila mimi nikiwa mwizi nitajitahidi kuwazuia wa chini yangu wasiibe ili pengo lisionekane kubwa.
Mabaya tuyaseme kwa nguvu zaidiIfike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee.
Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha chuma bado ni mwanamke ila ndie Rais wetu.
Mama Samia hongera kwa kaz nzuri mambo mengine watanzania tutakuelewa baadae kama ambayo tuna funguka baada ya Magufuli kututoka.
Una lipambania Taifa na una nia njema japo wapo watakuona huna nia njema na Hilo ni muono wao ila unapambania watu wajamuhuri yako. Nakuona unaham Taifa liwe letu sote na tule cake yataifa sote. Hii ni nia njema japo sio sote tunaona. Wachache tunakupongeza.
Mh Rais pamoja na mazuri mengi unayafanya ila Kuna hisia hasi kuhusu mambo mengi ambayo hutokuwa wakwanza kuyafanya sema ni ile hali ya Uzanziberi. Mh. Rais harufu ya udini na Uzanziberi kwa sasa ndio Habari kidogo inavuma kwa speed ya upepo wa Catarina Yani Habari ya udini na Uzanziberi inaharibu mazuri mengi japo kila nikiangalia naona kama Sio wa kwanza hata Mwl. aliwahi ambiwa ameajiri wakatoliki well nivile utaliangalia nakulichukulia na kufanyia kazi.
Jambo la mwisho ni watu wako wakaribu kuonekana kukuchukulia poa sorry kutumia hii phrase ila namanisha uwajibikaji wa watumishi kidogo umelega japo naweza sema umelega kumbe una njia zako zakuwaadabisha.
Basi nikutakie majukumu mema na Kazi iyendelee kwa mkono wa Jamuhuri ya Tanzania.
Hupigi kelele nakutoka lugha ngumu.Kushauri taratibu" ndio kukoje?
Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee.
Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha chuma bado ni mwanamke ila ndie Rais wetu.
Mama Samia hongera kwa kaz nzuri mambo mengine watanzania tutakuelewa baadae kama ambayo tuna funguka baada ya Magufuli kututoka.
Una lipambania Taifa na una nia njema japo wapo watakuona huna nia njema na Hilo ni muono wao ila unapambania watu wajamuhuri yako. Nakuona unaham Taifa liwe letu sote na tule cake yataifa sote. Hii ni nia njema japo sio sote tunaona. Wachache tunakupongeza.
Mh Rais pamoja na mazuri mengi unayafanya ila Kuna hisia hasi kuhusu mambo mengi ambayo hutokuwa wakwanza kuyafanya sema ni ile hali ya Uzanziberi. Mh. Rais harufu ya udini na Uzanziberi kwa sasa ndio Habari kidogo inavuma kwa speed ya upepo wa Catarina Yani Habari ya udini na Uzanziberi inaharibu mazuri mengi japo kila nikiangalia naona kama Sio wa kwanza hata Mwl. aliwahi ambiwa ameajiri wakatoliki well nivile utaliangalia nakulichukulia na kufanyia kazi.
Jambo la mwisho ni watu wako wakaribu kuonekana kukuchukulia poa sorry kutumia hii phrase ila namanisha uwajibikaji wa watumishi kidogo umelega japo naweza sema umelega kumbe una njia zako zakuwaadabisha.
Basi nikutakie majukumu mema na Kazi iyendelee kwa mkono wa Jamuhuri ya Tanzania.
Kwahiyo unawapangia wakosoaji namna ya kukosoa? Iwe kelele au lugha ngumu kikubwa sio matusi!!Hupigi kelele nakutoka lugha ngumu.