Mazuri ya Rais Samia tuyaseme kwa nguvu mabaya tumshauri taratibu safari ni ndefu sana

By the way Sijawahi ona Rais aliyefanya mambo mengi mazuri Kwa Tzn kama Samia kuanzia Ajira Hadi Barabara
Maji Hadi Afya
Kilimo Hadi Mazingira
Utawala Bora Hadi Ulinzia

Ni hivi Kwa mara ya kwanza Tanzania Sasa Imepata Rais,mnaoyaona mabaya endeleeni na Ushauri na Ukosoaji.
 
Sawa wanaume wengi ni wezi ila mimi nikiwa mwizi nitajitahidi kuwazuia wa chini yangu wasiibe ili pengo lisionekane kubwa.
Kihistoria Awamu zote zilikuwa na skendo za upigaji kwamfano Mzee "rukhsa" watu walikuwa wanapiga Mkapa watu walikuwa wanapiga kwahiyo hata kwa Samia mambo ni yale yale labda tuongelee kuwa tatizo ni CCM na sio gender ya kiongongozi.
 
Mabaya tuyaseme kwa nguvu zaidi
 

Bandari imeuzwa, hakuna cha kushauri, ni kulalamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…