Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Axha basi ujinga,kwa hiyo takwimu zile za uwanjani nazo ni siasa au sio??Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka
Acha mambo yako weweUkimtoa Pelle hakuna mchezaj bora zaid ya Messi,fuatlia mpila sio unaishia kuanglia viclip uchwara huko youtube,narudia tena ukimtoa Pelle anafuat Messi alaf ndo Maradona,hao ndo wachezaj bora wa muda wte duniani
Messi alimsumbua mpaka maako kijijini chitoholiMessi alimsumbua nani ?katika prime yake akiwa barca?
Hakuna laana mimi ni Shabiki wa Real Madrid lkn kama mtu hataki haina haja ya kulazimishaMadrid wamemlaani
Ukipata time nenda FIFA TV kaangalie documentary ya Pelle utafuta kauli yako yule mzee ni nuksi mimi nlikua mbishi kama wewe baada ya kutazama hio clip nmekubali Pelle ni next levelAcha mambo yako wewe
ushawahi kumuona pele anacheza au unasikia stori za wahenga ?
Tangu dunia iumbwe hakuna kama Messi
Kwhy Giroud n bora kuliko Messi hahaha,watt wadog wanadhan ubora wa mchezaj n kuchukua World Cup hahahOngezea na hii, Olivier Giroud ana World Cup Messi Hana.
kwa akili yako hii ,inaonekana ata kujiunga hapa jf umesahidiwa na mtu,Messi alimsumbua mpaka maako kijijini chitoholi
Acha tuombe uzimaMaisha yana mengi, huenda akainyakua akiwa hapo hapo PSG.
Sio nusu tu hata sudusi hafikiHakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wake
Sio nusu tu hata sudusi hafikiHakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wake
Cjawah ila takwimu zake sio za kawaida mkuuAcha mambo yako wewe
ushawahi kumuona pele anacheza au unasikia stori za wahenga ?
Tangu dunia iumbwe hakuna kama Messi
Inaonekana wew ni mtu wa pwaniKwahy kipind cha Messi na Ronaldo akina nan walikua bora kuzid wao ambao walipaswa kuchuku hzo tuzo?.
Na ukumbuke hzo tuzo zinapatikan kwa njia ya kura.
Kafuatlie Taarab naon mpila sio type yako
Kasikilize speech ya Messi wakati anachukua Ballon dor ya 7 pale France utajua nini naongeaKwahy kipind cha Messi na Ronaldo akina nan walikua bora kuzid wao ambao walipaswa kuchuku hzo tuzo?.
Na ukumbuke hzo tuzo zinapatikan kwa njia ya kura.
Kafuatlie Taarab naon mpila sio type yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi ipoUkimtoa Pelle hakuna mchezaj bora zaid ya Messi,fuatlia mpila sio unaishia kuanglia viclip uchwara huko youtube,narudia tena ukimtoa Pelle anafuat Messi alaf ndo Maradona,hao ndo wachezaj bora wa muda wte duniani
[emoji23][emoji23][emoji23] naona raia mmeshikilia babgo Giroud
We nae hauna point ya maana nyamaza thread nzima ume komaa na verse moja kama muimba taarabu.Huyo messi mnayesema mpka sasahv wa moto kaulizeni nani top scorer n mwenye assist nying ligi ya ufaransa msimu ulioisha[emoji23][emoji23]
Wakati wake umeshaisha tayr
Point anazo Bibi yako sioWe nae hauna point ya maana nyamaza thread nzima ume komaa na verse moja kama muimba taarabu.