Nao hao kina zidane wangefanya izo siasaWakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka
Angalia na video za messi mijitu ya zamani mijinga kweliMessi aliyowazid wote hao ni Ballon dor lakin kwa mbungi[emoji23][emoji23][emoji23]labda kama ulikuwa unafatilia isidingo n sio hao miamba
Take time n angalia video zao utapata akili kidogo
Akili mtu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumamake asa hao wanamzidi nini messi?
Au kisa wamecheza zamani?
Nyie ndo wehu mnaosemaga pawasa ni bora kuliko msuva au kapombe
Punguwan kabisa
Mpira itakuw umeanza kufatilia ukiwa mkubwa weweAngalia na video za messi mijitu ya zamani mijinga kweli
Umeanza vizur sana sasa hapo kati ulipofanya comparison ndio uliponiachaMimi naona hao kina pelle,maradona,R9,R10,zidane walikuwa bora kwa nyakati zao.
Messi na cristiano ni wachezaji bora kwa nyakati zote
Rekodi inaonyesha hivyo,hao wawili wamevunja rekodi zote.
Ukija kwa mbape naona anajiharibia tu mwenyewe ilibidi awatumie kaka zake vizuri ku set rekodi zake
Neymar na messi bado wapo juu ..
Are you serious?Pamoja na umri wa Messi kwenda bado ni bora kuzidi Mbappe.
Mbape ana kipi cha maana ,hebu nipe starts za neymar na messi kwa msimu huu tuUmeanza vizur sana sasa hapo kati ulipofanya comparison ndio uliponiacha
Messi na Ronaldo ni best nyakati zao ur right kabisa lakin sasahv ni nyakati za kina Mbappe
Ongezea na hii, Olivier Giroud ana World Cup Messi Hana.Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo
Yeye ndio mtoto pendwa hayo mengine mwenzio haijalishi yeye ndio anavuta mpunga mrefu na ana dekezwa haswaMbape ana kipi cha maana ,hebu nipe starts za neymar na messi kwa msimu huu tu
na Giroud sidhani kama ana hata goli world cup,kama anayo ni goli moja.World Cup medal si tuzo binafsi ya mtu mmoja,hata Geroud naye ana medali ya World Cup kumbuka.
umejuaje au we msemaji wao?Unadhan Messi au Ronaldo wangekuwa n world cup wangekuwa wanacheza mpka sasahv!?
aisee hata kuandika majina tu ya wachezaji shida sasa hoja ndo utaweza? Rudi kwanza darasa la tatu ujifunze kuandikaMkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
hana lolote ,ni mbio tu halafu mashuti mengi anapaisha kama Ndemla, kufunga anafunga lakini unakuta mashuti ya kupaisha kama kumi.Hawezi! Hana kipaji hicho cha kusumbua zaidi ya mbio!
Bora mimi kuliko ulieanza zamani alafu mjingaMpira itakuw umeanza kufatilia ukiwa mkubwa wewe
anamfananisha dogo na watu wanaoshikilia rekodi za dunia ,magoli ,assists ,na tuzo mbalimbali bado rekodi za kwenye timu zao walizocheza.,mbali na medali ya world cup ana nini kingineNdio wangekuwa wanacheza kwani still bado thamani yao ni kubwa sokoni, kuna club kibao zina wahitaji na wana deliver wanapopewa nafasi.
Wewe unazungumzia medali ambayo hata Geroud anayo, zungumzia uwezo binafsi na IQ ya mchezaji. Ndioo utopojua Mbape bado mchanga hata Henry bado hajamkaribia,hizo level za Ronaldo na Messi sijui kama atakuja kuzikaribia.
Jamaa anawatesa sana kwa chuki zenu 😂😂Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo