Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka
sasa kama na yeye anataka ukubwa afanye hiyo siasa pia achukue ,hata kama ni siasa ujue ndo ukubwa wenyewe
 
Naunga mkono hoja,
Hiki kibur alikianza hazard pale Chelsea,
Kauzwa hell ndefu Sana Madrid, ona alivosahaulika mapema
 
World cup ni group award ambayo inategemea na ubora wa kikosi ndiyo maada hata Oliver Giroud anayo Messi hana.
 
PSG nayo ni timu ya kuiongelea,timu imejaa warembo warembo tu πŸ˜†πŸ˜†
 
Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka
Tena uache uongo. Wewe una jua ni tuzo ngapi alistahili kuchukua ki halali ila akanyimwa? Eti mpira ni vita ya Matajiri. USA ipo wapi kwenye mpira? Mpira siyo story. Kama una ujua una ujua tu. Hata uwe wapi. Shukruni kuwa na Messi kwenye dunia ya mpira. Ndie kipimo cha ubora mchezaji yoyote kwa sasa wa Mpira.
 
Mbona hata giroud ana world cup πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†?
 
Messi hakwenda PSG ili akawe mfalme, ufalme wake ulikuwa Barca. PSG ilimtaka Messi ili kukuza brand na sababu za kibiashara zaidi.
 
Exactly, ingawa duru za Barca zinashawishi Messi arudi msimu ujao ili akamalizie soka lake Barcelona na aagwe kwa heshima anayostahili si kwa machozi aliyoondokea.
 
Hawa wachezaji (Messi na Christiano Ronaldo) wanastahili pongezi na heshima kwa maana wametuburudisha na kutufanya tu enjoy soka kwa miaka zaidi ya kumi wakiwa katika kiwango cha juu. Natamani kuona kama Mbape atakuwa katika ubora wa juu kwa miaka 10 mfululizo kama hao miamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…