Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa
Hakuna weledi hapo. Waliosambaza ni wengine huyo wanamuonea tu ili waonekane wanapiga kazi. Mediocrely done.
Kamanda, tuwekee ushahidi basi kuthibitisha ili tuyaamini hayo usemayo, vinginevyo na wewe tutakuona ni mmoja wa waropokaji tu.
 
jiangalie mkuu usije ukaangukia kwenye mikono ya dola halafu ukakosa wa kukutetea, akili za kuambiwa changanya na zako, usiwe kama bendera...kufuata upepo unapo elekea mwishowe utajikuta vichakani...

Acha kutisha watu mwoga wewe
 
Wange anza na shemasi KIGOGO ingependeza zaidi
 
Huyo dada ni mjinga, kafanya biashara na watu wengi humu Ila anaendeshwa na upepo wa wanasiasa bila kujua wale wapo kwenye kazi yao ya siasa.
Boss hebu nitue kwanza ..khaa..usinichoshe mie sasa unataka kusemaje kwamfano..wapi nimetangaza amekufa? Eish
 
DPP anasemaga hana haja ya kuendelea na kesi,ila mhusika anakua kasota muda mrefu.

Nimekuelewa mkuu.

Ubaya wenyewe kwa nchi zetu hakuna namna unaweza kuwadai fidia kukusotesha wakati ulikuwa sahihi.
 
Hawa jamaa hawako serious yaani wamefunga twitter halafu wanatumia hiyo hiyo twitter kama source ya kufikisha habari?
Kumbuka wanaweza kukufungia wewe lakini wao wanaipata.
 
Back
Top Bottom