Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwahiyo kila litakapotukia jambo lenye utata watalisolve kwa kumficha mzee na mzee atakubali?Jamani mbona mnatuchanganya?. Mtu wangu wa karibu kitengo kanidokeza nisisumbuke na kuangaika na uvumi unaoendelea mtandaoni TISS wameamua kucheza na akili za watu kupotezea ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.
Kigogo na Chahali ole wenu Jiwe azinduke
Basi TISS na huyo wanayemficha wote hawana akili.