mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
weee mama wewe[emoji44][emoji44]Hili sakata waliosambaza, waliocoment, walio like ni wengi sana
Mods fanyeni kazi yenu tusijeharibu jf yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weee mama wewe[emoji44][emoji44]Hili sakata waliosambaza, waliocoment, walio like ni wengi sana
Mods fanyeni kazi yenu tusijeharibu jf yetu
Huyo aliyemkamata nadhani atakuwa ana uwendawazimu.Kazi imeanza,! Watanyea ndoo sana hawa mibavicha!
wewe post,ukiulizwa uwataje BBC.BBC nao wamechukuliwa hatua gani?
Ndio maana hizi chuki kwa watawala haziishi kwakua nchi sasa inaongozwa kama wanavyoongoza familia zao nyumbani.
Mnahangaika na watu ambao kuwapata ni tabu mnawaacha BBC ambao wanaofisi zao kuwapata ni rahisi.
Ninyi mmezoea kuonea watu.Mnatunga sheria zisizo tekelezeka ili mfunge watu.Hivi kwa mfano unatunga sheria kupata haja ndogo ni mara moja kwa siku utakua na lengo gani kama si kulazimisha watu wavunje sheria ili muwafunge.?Hii cyber crime act inafanana kabisa na mfano huu wa sheria zisizotekelezeka.
Naamini kwa sheria hii hata ile ya jiwe "basi baki na mavi yako nyumbani" kama ni raia wa kawaida tayari umevunja sheria na unafungwa.
Kwa haya mnayoyafanya hizi chuki hazitaisha
chahali alifukuzwa kazi kitengo baada ya kukanyaga nyaya za system.Wanamsaka wapi sasa? Kwenye mtandao au huku uraiani au popote pale?
Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Hawa jamaa hawako serious yaani wamefunga twitter halafu wanatumia hiyo hiyo twitter kama source ya kufikisha habari?
Unawakumbuka waliokuwa wanasema LOWASA ni MGONJWA!?hongera kwa Jeshi la polisi Mkoa wa kinondoni,
tunaomba wazushi wote wakamatwe kwa kushirikiana na TCRA.
lkn pia wapo baadhi ya viongozi wa upinzani ambao wamejitokeza hadharani na kushadadia habari za uzushi pia wakamatwe ili iwe fundisho kushabikia na kucho chochea taharuki kwa wananchi wasio jua lolote.
Wanaweza Kubishana nao kwa Kiingereza?Wangekamata kwanza Aljazira
Matamko ya serikali!?Ndiyo msambaze taarifa zenye taharuki, unajua ndugu wa mheshimiwa wangapi wana matatizo ya presha nk what if katika uvumi huo ikawapa presha na kuwapoteza kwa taarifa zisizo na ukweli, kwanin msikae kimya tu msuburi matamko ya serikali, halafu chuki hailipwi kwa chuki
Hana hamu na wana mitandao! Wanakupa likes tu ila likikufika utaendelea kuwa peke yako
Wenye mamlaka mbona walishasema?Matamko ya serikali!?
Wenye mamlaka ya kusema wapo kimya na siku zinaenda, unazuia uvumi kwa kukamata watu au kwa kuonyesha ukweli? Mbona kuwatafuta na kukamata ni kazi kubwa kuliko kusema tu mh. Raisi yupo kwake kwa mapumziko simpo tu"
Sipati picha, atavowananga watu kama kipindi kile alivozushiwa.
Taratibu chiefYaani wewe ambae humu umewasiliana na watu wengi kweli kwenye biashara na Mimi nikiwemo alafu unajifanya hapa eti ndio hii. Vitu vingine viwapitage, Kuna matatizo ya kujitakia.
Ila haya, lakini jua namba zako za simu watu wanazo. Wenzio hao wako nje ya nchi.
Mimi ni muumini wa Uhuru wa maoni, Ila sio muumini wa uongo na taharuki
Ungeyajua yote hayo usingetumia fake idKwani Mandela alivyoonda jela, weusi wote waliingia kukaa naye jela? Je hao wanaowasifia viongozi wa umma huwa na wao wanapanda yale maVX? Kwa taarifa yako hakuna mtu yoyote amekamatwa mpaka sasa, ila polisi wanatumia huo mkwara mbuzi ili watu wasiendelee kumpa makavu hilo jizi kuu la kura.
Usifananishe Mandela na vitu vya kijingaKwani Mandela alivyoonda jela, weusi wote waliingia kukaa naye jela? Je hao wanaowasifia viongozi wa umma huwa na wao wanapanda yale maVX? Kwa taarifa yako hakuna mtu yoyote amekamatwa mpaka sasa, ila polisi wanatumia huo mkwara mbuzi ili watu wasiendelee kumpa makavu hilo jizi kuu la kura.
Mimi ninamwomba Rais Magufuli na serikali yake kuwa wasitafute makosa kwa watu wengine bali ingekuwa busara kama yeye Rais na wasaidizi au watendaji wake wangejiuliza au kujitathmin wao wenyewe kuwa wamefanya makosa gani, mpaka hao watu au huyo kigogo akapata nafasi ya kujitutumua hivyo kwa kuleta uongo mitandaoni?Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.
Pia , Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita Kigogo katika mtandao wa Twitter, kwa tuhuma za kuzusha hofu na uongo kwamba Rais John Magufuli anaumwa.
Naona mmeanza na dagaa sio,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.
Pia , Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita Kigogo katika mtandao wa Twitter, kwa tuhuma za kuzusha hofu na uongo kwamba Rais John Magufuli anaumwa.
Japokuwa sishabikii masuala ya kutangaziana habari za vifo wakati wahusi wako hai. Nikumbushe tu hii si mara ya kwanza wamejaribu kumtafuta kigogo. Walishajaribu before, hawakufanikiwa licha ya gharama kubwa kutumika.Kazi imeanza,! Watanyea ndoo sana hawa mibavicha!
Ila kwenye uchaguzi rais anaweza kuamua nani awe mbunge kinyume na box na box kura. Yaani watu hatujali uvumi, sisi wengine tuko kwenye maombi kabisa hilo jizi la kura litangulie ahera, nini kuzushiwa?Freedom of expression sio kueneza uongo. Hata humu jf ukiweka post na kusema Mac melo anaumwa wakati haumwi unakula ban
Ungeyajua yote hayo usingetumia fake id