Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa
Kigogo ni pimbi tu.
Hii si mara ya kwanza kam-wish namba 1 kifo.

Alishafanya kabla na watu wakaamini lakini chuma kikatokea.


Juzi kasema bilal yuko hoi...kesho yake bilal akatokea kwenye mazishi ya seif.

So kigogo ni pimbi kama mapimbi wengine wanaomuamini.
Basi na ww ni pimbi kama kila siku unachungulia kwenye page yake naww ni pimbi
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.

Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita Kigogo katika mtandao wa Twitter, kwa tuhuma za kuzusha hofu na uongo kwamba Rais John Magufuli anaumwa.

Mkuu Ramadhani Kingai nikukumbushe siku chache zilizopita Mh. Mbowe na mwenzie walizushiwa kifo, acha huyo amezushiwa ugonjwa (wakati inawezekana kabisa kwamba ni mgonjwa kweli), sijui mmeshawashughulikia wahusika hao waliowazushia kina Mbowe kifo?.
 
Yupo sana, kama mna uwezo wa kumkamata akiwa hapa nchini, kimewashinda nini kumkamata aliyempiga Lisu risasi?
Hamna mtu pale, alipofiwa na baba yake alipomzika tu akakimbia fasta fasta et ana muogopa jiwe!
 
Unajua Leo nimeshangaa Sana watu ambao tumekuwa tukiwasiliana kuhusu biashara na maneno wanayoyatoa. Lakini pia nawaza Kama unataka kufanya hayo yote why unaji-engage kwenye business Tena na id ileile?
Anyway
Hahahaha unataka uwachomeshe hahahaha hakuna mtoto humu mkuu
 
Mkuu Ramadhani Kingai nikukumbushe siku chache zilizopita Mh. Mbowe na mwenzie walizushiwa kifo, acha huyo amezushiwa ugonjwa (wakati inawezekana kabisa kwamba ni mgonjwa kweli), sijui mmeshawashughulikia wahusika hao waliowazushia kina Mbowe kifo?.
Mbowe unamlinganisha na Rais kweli!!? Rais wa nchi ni mkuu wa nchi na Amiri Jeshi wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama huwezi mlinganisha na Mwenyekiti wa Chama!
 
Kumbuka wanaweza kukufungia wewe lakini wao wanaipata.
Sasa kwanini utume ujumbe kwenye site ambayo umeifunga ukiwa na lengo la kufikisha habari na wakati unajua wazi watu hawawezi ku access hiyo site?
 
Back
Top Bottom