Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

Yeye alipokuwa ananunuliwa anatembezwa kwa magari ya serikali huko Mbeya na kwingineko alidhani pesa ile inatoka wapi? Huyu sijui tumpe tusi gani kali kali.
 
Kwamba Magufuli alikuwa mpika data hilo wala halikuwa na ubishi. Watu wajinga tu ndio walikuwa wanaamini figure za Magufuli. Sio mara moja au 2 tulikuwa tunasema hapa jukwaani kuwa taarifa za makusanyo ya TRA ni uongo, na kuwa tunafanya miradi kwa pesa za ndani ilikuwa ni uongo pia.
 
Kati ya hizo, 50% kakopa Magufuli peke yake. Nchi ilikuwa inatumbukia shimoni hii aisee chini ya awamu ya 5..... sema Mungu katuhurumia Watanzania!
 
Kumbe ndio maana Wapinzani hawakutakiwa wawepo Bungeni ili wasipate nafasi ya kufichua hivi vitu.
 
Huyu James Mbatia aliwahi mshiriki wa karibu wa Magufuli halafu leo anajitia fyoko fyokoooo
 

Hebu tuambie zilitumika kufanya nini, maana wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta deni la taifa kuwa ni 39m+, ndani ya miaka 6 imepanda kwa 31t+. Je miradi aliyofanya inafikia hiyo 31t+? Ifahamike alikuwa anasema TRA walikuwa wanakusanya 1.3+@mwezi.

Magu alikuwa ni kiongozi dhalimu na muovu, na alishurutisha watu wote wakubaliane na uongo wake. Ukweli huu tulijua tu lazima utafahamika hata kwa aliofanikiwa kuwabrainwash.
 
Wash brain Magu aliiweza
Ingekua vita ya jihad,wapelestina wangetusubiri
 
Kwa Watanzania M60 kila Mtanzania anadaiwa 1,183,333
Magufuli angekuwa hai angezilipa baada ya siku tatu tu.
Wakati yeye ndio katufikisha hapa tulipo na mideni yote hii
 
Wash brain Magu aliiweza
Ingekua vita ya jihad,wapelestina wangetusubiri
Kabisa, halafu huwezi kuamini, hata wasomi ambao wangeweza kung'amua uongo wake, ndio waligeuka wakawa wajinga kuliko wasio na elimu!
 
mama Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…