Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnashambulia mleta hoja badala ya hoja wewe unaonaje deni la ccm kutaka liwe deni la Taifa nisawa?Yeye alipokuwa ananunuliwa anatembezwa kwa magari ya serikali huko Mbeya na kwingineko alidhani pesa ile inatoka wapi? Huyu sijui tumpe tusi gani kali kali.
😀😀😀😀😀Kwa Watanzania M60 kila Mtanzania anadaiwa 1,183,333
Magufuli angekuwa hai angezilipa baada ya siku tatu tu.
Mmawia atalipaje jamani hiyo 1m na ushee?!!!😀😀😀😀😀
Aisee
Ni mnafki kama mitanzania mingineAlikua wapi kuhoji muda wote huo
Dah!Ni mnafki kama mitanzania mingine
Nikawekwe pingu Pale juu ya KabuliSasa sjui watamshika Nani [emoji3][emoji3][emoji3]
Deni la Trilioni 71 ni kidogo sana kwa nchi kama Tanzania cha muhimu pesa hizo zimetumikaje. Marekani mtu mmoja anamiliki hadi Trilioni 400. Umaskini wetu unasababisha kuona deni la Trilioni 71 kuwa kubwa sana wakati siyo. Tanzania tuna rasilimali rukuki tukiacha ubabaishaji, wizi na ujanja ujanja tutapiga hatua kubwa.
Wash brain Magu aliiwezaHebu tuambie zilitumika kufanya nini, maana wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta deni la taifa kuwa ni 39m+, ndani ya miaka 6 imepanda kwa 31t+. Je miradi aliyofanya inafikia hiyo 31t+? Ifahamike alikuwa anasema TRA walikuwa wanakusanya 1.3+@mwezi. Magu alikuwa ni kiongozi dhalimu na muovu, na alishurutisha watu wote wakubaliane na uongo wake. Ukweli huu tulijua tu lazima utafahamika hata kwa aliofanikiwa kuwabrainwash.
Wakati yeye ndio katufikisha hapa tulipo na mideni yote hiiKwa Watanzania M60 kila Mtanzania anadaiwa 1,183,333
Magufuli angekuwa hai angezilipa baada ya siku tatu tu.
Kabisa, halafu huwezi kuamini, hata wasomi ambao wangeweza kung'amua uongo wake, ndio waligeuka wakawa wajinga kuliko wasio na elimu!Wash brain Magu aliiweza
Ingekua vita ya jihad,wapelestina wangetusubiri
mama Tanzania
Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?
Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani?
Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa kutubebesha mzigo wa deni bila kutujulisha mapema.
Source: Clouds tv!