Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

Mbatia unasemaaaa
Serikali iombe radhi tuu
Unatania au ni dharau kwa walipa kodi?
Wewe ni mshirika wao
Kuna watu wanahitaji kuwajibishwa
Leo wanasema bashite asihojiwe how why
Takukuru sijui pccb msiwafanye watu wajinga
bashite sabaya mnyeti kingwa nani sijui biswalo dotto bushi nani sijui mpango mji sijui nani hawa wote hawapashwi kuwa mtaani period! Wana la kujibu
 
Tatizo kubwa la Nchi hii ni huu mhimili wa wananchi basi!! Cha ajabu ni kwamba ndio muhimili ambao unalipana mishahara na posho nono.
 
Na hizi Mpya tulizokopa leo Bank ya Dunia jumla tutadaiwa Trillion 73 na ushee bado riba hapo babaa
 
Hivi vichama vinavyoongozwa na wachagga tabu tupu.

Vyama vimekuwa vitega uchumi binafsi, wanajumbatia vyama ili wapate title za kuvimbia mjini
  • TLP ( Mrema )
  • CDM ( Mbowe )
  • NCCR ( Mbatia )
Si uanzishe chako kisicho na kabila wala dini mzee baba
 
..hii mbatia amuulize MTU wake kafulila ambaye anatumikia serikali hii...na iliyopita..
 

Mwendazake amesaidia kutufumbua macho kujua wapinzani wetu wanakuaje bila vyeo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , haya sasa kaongeze nguvu kwenye petition
 
Na yeye asituchangange, yaan wanasiasa wanatuona sisi Wananchi mafala sana ee. Sikuzote watu wanaimba deni la taifa linaongezeka kipindi mwendazake akiwepo hai yeye alikua wapi. Hata km ni kinafiki naweza kumsikiliza yule aliyethubutu kusema wakati JPM akiongoza nchi, sio hawa wa sasa hivi wanajifanya walikua hawajui. Nchi haiwezi ikaendelea kinafiki hvyo
 
Angehoji nini wakati tuliambia TRA wanakusanya matrilioni kwa mwezi na hatukopi
Hiyo kauli ilkua ya kudanganya wasiojielewa, lakini mtu kama Mbatia kwa nafasi aliyonayo alikua anajua ukweli lakini alikaa kimya alafu sasahv anajifanya kushangaa. Aisee naomba akae kimya tu tunamheshimu sana kwa mchango wake sasa amefika mwisho aache wengine watudanganye sio yeye tena
 
Juzi tumeongezea Mbili kwa miradi ambayo hata Haina umuhimu wa kukopa fedha,

Jamani tunaopofanya maamuzi ya kukopa tukope kwa ajili ya miradi itayotuondoa katika utegemezi na sio Kwa lengo la kukopa tu ili kujenga mahusiano mazuri na hizo taasisi za kifedha, tutabakia maskini kwa muda mrefu sana.
 
71 trillion imetokea wapi tena ? Mbona tuliambiwa serikali ilikuwa inakusanya kodi hadi inavuka lengo kumbe ni za dhulma kwa kufunga account za wafanya biashara
Jamaa alikuwa tapeli sana yule
 
Chini ya chama chako CCM usitegemee la maana
 
Poleni sana watanzania wenzangu!!!hili deni halilipiki hata kidogo!!!Ilaumiwe kamati kuu ya ccm kwa kuteua lile jina kwa hila!!!!
 
Sasa Tanzania itakuwa inaongoza kwa madeni Africa nzima.
 
Dawa ya ganzi ishaisha, sasa Mbatia naye kaanza pata maumivu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…