Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!

Jibu hilo ni zuri sana kwa mwanamke๐Ÿ˜… Kwanza Linaonesha uaminifu kwa unaemtongoza kwa kuweka sawa status ya hali ya uhusiano wake ingawa linaudhi sana kwetu cause mda mwingine unaweza kutajiwa hata jina na ukicheck mtu unaetajiwa kakuzidi parefu,inauma sana. Hili pia ni jibu la mkato kuepusha maswali mengi ambayo huwa yanakuja baada ya kujibiwa haiwezekani. Ujue hawa wanatongozwa kila siku so yawezekana anauzoefu anajua akijibu haiwezekani linaweza kuja swali la kwanini au unamtu/umeolewa??! kuepusha konakona basi unajibiwa sahizi nina mpenzi tayari sasa hapo kitakachoendelea ni uwezo wako wakushawishi kama unaweza kubadiri gia angani ili akufate wewe na kumuacha jamaa alienae.Wanasema Wanawake hawapendi, ni ushawishi wako tu mwenyewe..anaweza kukufata au asikufate kulingana na ulivyomshawishi wewe.๐Ÿ˜
 
Hakunna jambo jepesi kama mwanamke akikuambia ana mtu, kifupi anakuwa kamachoka huyo mtu, ila anachotaka uingie vitani kumtoa huyo nduli, anakuwa hapo kama kakupa info kama CIA
 
๐Ÿ‘‹
 
Hakunna jambo jepesi kama mwanamke akikuambia ana mtu, kifupi anakuwa kamachoka huyo mtu, ila anachotaka uingie vitani kumtoa huyo nduli, anakuwa hapo kama kakupa info kama CIA
Hehe nyinyi ndio huwa mnarogwa...๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ