Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!

Usikate tamaa mkuu, wenye majibu ya kuudhi mara nyingi ndo huwa wanaokotwa sana. Ukiona unajibiwa kimasihara yaan unaona hapa namuokota sasa hivi, unaona kama anaelekea..anakuoa matumaini kama atakubali hivi.Hapo jua huyo mwanamke kumng'oa ni kazi ya ziada sana na yawezekana usimpate ng'o. 😁😁
 
Unavyotoa ushauri utafikiri wewe ndo huyo mtu alienijibu huyo dada...🀣
 
Hakuna mdada ambaye yupo single kosa Lako wewe ni kutongoza.
Tulishahama huko mkuu tatizo umekua mtoro sana kwenye vikao
Hivyo vikao vyenu ambavyo havina bia siwezi kuhudhuria!, unaniita kwenye kikao kuna fanta na maji dah!.
 
Hapana,mwanamke akikujibu kuwa hapana na ana mtu,huyo ndio wa kumfuatilia sana,unaongeza bidii ili umpate.Na nilishafanya sana tu na nilifanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…