Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Muhimu si amefika? maswala ya ruhusa sisi hayatuhusu
 
Kwa ninavyowajua Chadema, Sugu anaweza kutumika kuhujumu mambo flani flani nchini na akajisifu kwa kutumiwa na waamerika ...

Mmarekani hawezi kua na agenda ya kumnufaisha mtu wa dunia ya tatu(take it from me)
Ahujumu nini wakati watu wanangalia
Fursa za uwekezaji nk

Ova
 
Wakati huo huo Makonda wa CCM wamempiga marufuku asipeleke makalio yake marekani!😂😂😂
 
Kwani ndiyo mara ya kwanza kutembelewa
Sugu nje ya uharakati na pia ni mpambanaji kwenye mambo ya kijamii nk

Ova
 
Haya kojoa ukalale mjuaji
 
Mbilinyi ashtakiwe mbona hatuoni Picha za Mama Samia ukutani
 
Sugu is another level. Tulia skar kwa kutulia huku akijiandaa kukabidhi jimbo 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…