Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Simba ya siku hizi👇🤣
1437.jpg
 
Kwa vyovyote matokeo yatakavyokuwa, nyie MPENI REFA FUNGU LAKE... amefanya Kazi yake vya kutosha kabisa. Msimdhulumu ujira wake. Ama pandeni dau atoe red nyingine pengine wakiwa 8 mnaweza pata sare
simba wajiongeze.

Mbona siye tujijiongeza ka Namungo.

Tukapata drawd dakika za majeruhi
 
Back
Top Bottom