Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Wapenzi mashabiki wa Simba kuweni wavumilivu benchi la ufundi linaahidi kufanyia kazi maoni yenu next time.
Tatizo la simba kubwa ni timu kukosa plan B.Mara nyingi imeonekana timu ikishazidiwa mwalimu anachokifanya nikulundika washambuliaji au kufanya sub za ovyo ovyo uku mfumo ukiwa ule ule usioeleweka.sasa matokeo yake wachezaji wanagongana gongana tu uwanjani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom