Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Nasikia kuna dau lingine Boss kubwa katoa kwa refa eti aongeze dkk 15.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu hili kombe tumepoteza 100%, upumbavu wa kocha.Mkuu ligi bado mbichi, kumbuka hii ni first round
Haikua offiside sema kibendera hakuona vizuriGoooooooool..........offside......mikia
Mikia fc kazi wanayowamepata nafasi badala kusajili mshambuliaji wa maana wapo busy na chama. boko anajikwaakwaa tu mule ndani. mugalu na kagere hamna kitu. hawa bodi ya simba ni wasanii tu wote. wapo pale kupiga hela tu.
Labda washinde na njaaNARUDIA TENA. SIMBA AKISHINDA HII MECHI NAWEKA PICHA, JINA NA KITAMBULISHO CHA KAZI YANGU.
Mmh Ngoma imeisha hii 🤣🤣 hapa Leo tumepotezaHii game Simba tunashinda dakik za jion kabisaa
Huu ndio ukweli wa wazi!wamepata nafasi badala kusajili mshambuliaji wa maana wapo busy na chama. boko anajikwaakwaa tu mule ndani. mugalu na kagere hamna kitu. hawa bodi ya simba ni wasanii tu wote. wapo pale kupiga hela tu.
Simba wanaitafuta droo kwa udi na uvumbadakika ya 90, Mbeya City Council 1- 0 Simba Sports Club
DAKIKA 5 ZA NYONGEZA
Acha kumtukana kepteni wakoBocco msenge kweli
Unajua dau la kwanza mud alitumia tigo pesa gsm akawah tigo kuzuia muamalaNasikia kuna dau lingine Boss kubwa katoa kwa refa eti aongeze dkk 15.