Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

dakika ya 90, Mbeya City Council 1- 0 Simba Sports Club

DAKIKA 5 ZA NYONGEZA
 
wamepata nafasi badala kusajili mshambuliaji wa maana wapo busy na chama. boko anajikwaakwaa tu mule ndani. mugalu na kagere hamna kitu. hawa bodi ya simba ni wasanii tu wote. wapo pale kupiga hela tu.
Mikia fc kazi wanayo
 
dakika ya 90 + 2', Mbeya City Council 1- 0 Simba Sports CluB

Deo munishi yupo chini akigugumia maumivu
 
Back
Top Bottom