rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wamekaa kuteuana toka lini kasim dewji akajua kusajiliwamepata nafasi badala kusajili mshambuliaji wa maana wapo busy na chama. boko anajikwaakwaa tu mule ndani. mugalu na kagere hamna kitu. hawa bodi ya simba ni wasanii tu wote. wapo pale kupiga hela tu.