Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

simbaaa.......GOOOOOOOOOOOOOOOLLLLLLL

aaaaaah natania tu .......MIKIA FC

Npo uwanjani .kamvua kanaongezeka ......but MiKIA FC wanacheza as if wako pungufu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa vyovyote matokeo yatakavyokuwa, nyie MPENI REFA FUNGU LAKE... amefanya Kazi yake vya kutosha kabisa. Msimdhulumu ujira wake. Ama pandeni dau atoe red nyingine pengine wakiwa 8 mnaweza pata sare
simba wajiongeze.

Mbona siye tujijiongeza ka Namungo.

Tukapata drawd dakika za majeruhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…