rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wamekaa kuteuana toka lini kasim dewji akajua kusajiliwamepata nafasi badala kusajili mshambuliaji wa maana wapo busy na chama. boko anajikwaakwaa tu mule ndani. mugalu na kagere hamna kitu. hawa bodi ya simba ni wasanii tu wote. wapo pale kupiga hela tu.
Duh bado tu haijaisha?dakika ya 94', Mbeya City Council 1- 0 Simba Sports Club
AISHI MANULA KAKIMBIA MBELE KAACHA GOLI ANASHAMBULIA NA YEYE
[emoji1787][emoji1787]Refa tunaomba msaada wa penat nyingne hi ya pil hatutakuangusha tunajua unatubeba
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Cha nn sasa😂😂😂NARUDIA TENA. SIMBA AKISHINDA HII MECHI NAWEKA PICHA, JINA NA KITAMBULISHO CHA KAZI YANGU.
Tena kafa kifo cha aibu mno.Nilisema mapema sana, hii game Simba lzm afe
Refa kafanya yote ila wapiDaaah, red card pamoja na penati ila wapi, kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. cha kuombea kazi ya ukocha hapo SimbaCha nn sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Utopolo ndo wajue, sio kila timu ikipata red card ama penati inakuwa imeonewa na haiwezi kupata ushindi.Daaah, red card pamoja na penati ila wapi, kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza
Asilaumiwe mtu yeyote plan tu ya timu nzuma Leo haikuwa nzuri kabisa tukubali tu tumepoteza tu game Leo tujipange Kwa ijayo.Isingekuwa Bocco kuruka,Lile lilikuwa goli
Bocco msenge kweli