Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kwani kocha ndiye anayesajili Simba? au hukumsikia Magoli alisema nini?haya ni matokeo ya kocha. kapanga mfumo wa kijinga akijilinda. halafu alikubalije dirisha dogo kufungwa bila kusajili striker wakati ni tatizo lolionekana mapema?
Nisaidie kuna habari gani mjini?Hahahaaa. Sawa.
Ila nimecheka sana. Lol.
Hivi huyu kocha wetu ametokea REAL MADRID ya SPAIN KWELI??
Amenambia anasubiri kipindi cha tatu...[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
imeisha hiyoooooooDuh bado tu haijaisha?
Nisijifariji nini sasa au unadhani shabiki wa Simba ni wewe tu humu? Toa ushabiki ongea ukweli, kwa jinsi LIGI ilivyo ngumu msimu huu hatukutakiwa kukaa nyuma ya Yanga kwa point 5.Aaahh waapi usijifariji
Boss tunaomba no za mganga wakoSimba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.
Wakabebwa lakini wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuh kumbe na wewe ni mwananchi mwenzangu Mrs Liverpool??[emoji848]
Mkuu Bado Upo?Sawa na sisi tunataka waje hivo hivo Ili tukishinda usije geuza maneno ukasema tumepiga bomo mochwari tu.
Aisee muda huu GENTAMYCINE atakua anaandika gazeti huku machozi yakimtiririka kwa hasira.
Ile penalty refa alikuwa anataka kuipiga mwenyewe.Redcard
Penalt
8+ added mins
Lakini wapiiii
Unaongea ukweli ambao mashabiki wenzako hawapendi kabisa kusikia.. Pia kumbuka msimu kuna timu 16 tu..Nisijifariji nini sasa au unadhani shabiki wa Simba ni wewe tu humu? Toa ushabiki ongea ukweli, kwa jinsi LIGI ilivyo ngumu msimu huu hatukutakiwa kukaa nyuma ya Yanga kwa point 5.
Hâta hizo point tano zanaweza kuongezeka kutaokana na uchezaji wetu wa viporo.
Psychologically timu haitakuwa sawa kimorali.
Nikimbie ili iweje?