Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Bocco Astaafu kwa Heshima, ni kweli Mugalu kakosa Penalt lakini Bocco kashindwa nn kumalizia tuu Pale.

Ila Bado nina Imani Simba Atakuwa Bingwa. Sasa Tunahitaji Yanga Apate Draw 2 au 1 na Kufungwa Mechi Moja

Tuna Imani na Polisi Tanzania. Ngoja Tuone
 
Mkuu haukuwa kwenye ile mob ya kutaka Chama?
sijaelewa msingi wa swali lako. ndio shida ya kurukia vitu bila kuelewa hoja. mimi nazungumzia shida ya striker wewe unarukia Chama. ni punguani pekee ndiyo hawezi kuona umuhimu wa kumsajili Chama
 
Shadeeya upo wapi!!!!! Hii ni siku ya baraka! Kweli shetani hajawahi Kushinda Mungu
 
Ni hujumaaaaaaaaaaa.......but Simba kama wangecheza na coast union .......Basi SIMBA wangepigwa 5_0
 
GOOAAAAL CHAMAAAA MWANAKUFELI anawaandikia ubao mbeya city 1:0 simba
 
Kasababisha offside,goli la kagere likakataliwa!Pia alikosa goal la wazi baada ya Mugalu kukosa penalti,badala ya kushuti yeye akatuliza mpira,control ikawa chumba na sebule,kipa akauchukua kiulaini!
Bocco anaigharimu timu sana!
Hili jamaa linavyo cheza hasa ile penati dah...
Kweli Bocco akapumzike tuu jamanii tumechokaaaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Simba wanaweza wakadai labda kwa kuwa Chama hajacheza na laiti kama angecheza Mbeya City wangekiona cha 🔥 kwa sababu sasa hivi mambo yote ni Chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…