Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Najisikia raha hawa makolo wamepigwa na timu ya nyumbani[emoji1787]Pamoja sana [emoji172][emoji169]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najisikia raha hawa makolo wamepigwa na timu ya nyumbani[emoji1787]Pamoja sana [emoji172][emoji169]
sijaelewa msingi wa swali lako. ndio shida ya kurukia vitu bila kuelewa hoja. mimi nazungumzia shida ya striker wewe unarukia Chama. ni punguani pekee ndiyo hawezi kuona umuhimu wa kumsajili ChamaMkuu haukuwa kwenye ile mob ya kutaka Chama?
Bocco angetulia lingekuwa goliOkay!! Kwa mtazamo wako wewe Kwa nafsi yako,, unaitazamaje??
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL
JOHN BOCCO ANAIANDIKIA SIMBA GOLI LA KUSAWAZISHA
Wakiondolewa acheze nani sasa?Mugalu na bocco waondolewe Ty
Acheni vuruguMimi naanza;
Chama arudi Simba na gundu...
Shadeeya upo wapi!!!!! Hii ni siku ya baraka! Kweli shetani hajawahi Kushinda MunguChama is Back, Tiple C is Back.
Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri.
Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea katika ligi kuu ambapo saa 10:00 jioni, atakuwa ugenini jijini Mbeya kumenyana na
Mbeya City.
Je, Mbeya City atamsimamisha mnyama ama mnyama kuchukua alama zote tatu?
Shughuli nzima itakuwa LIVE hapa JF.
Chama is Back, Tiple C is Back.

Mi niliandika hapa mwanzo kabisa.Kikosi kinachoanza leo kinanitia Mashaka Makubwa.
Basi sawaGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL
JOHN BOCCO ANAIANDIKIA SIMBA GOLI LA KUSAWAZISHA
mimi nachojua kocha anapendekeza anahitaji mtu wa namna gani au jina la mchezaji kabisa uongozi unafanyia kazi. hayo mengine siyajuiKwani kocha ndiye anayesajili Simba? au hukumsikia Magoli alisema nini?
Hili jamaa linavyo cheza hasa ile penati dah...Kasababisha offside,goli la kagere likakataliwa!Pia alikosa goal la wazi baada ya Mugalu kukosa penalti,badala ya kushuti yeye akatuliza mpira,control ikawa chumba na sebule,kipa akauchukua kiulaini!
Bocco anaigharimu timu sana!
Jasiri naye jiamini mpaka natokwa na ukunguUsijali scars we potea hewani tu lawama wape ccm.
Mayele ni mchezaji wa hovyo sana [emoji23][emoji23][emoji23]St francis wameshinda
Inabidi nicheke tu, mapinduzi siyo Bonanza tena bali ubingwa?Na kumbe mashabiki wa yanga wapo wengi hivi, mi nilikuwa sijui
Sasa juzi tulipobeba ubingwa mlijificha wapi?