NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Mbona unalia sasa[emoji3]Mpira una matokeo matatu, kushinda, kudroo na kufungwa, hivyo matokeo yoyote nitayapokea na ligi ni kama na mbio za marathon!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unalia sasa[emoji3]Mpira una matokeo matatu, kushinda, kudroo na kufungwa, hivyo matokeo yoyote nitayapokea na ligi ni kama na mbio za marathon!!
😀😀 mpaka hapa wakijitahidi ni durooo. 🤣Pamoja na kadi ya mchongo lakini weKUNDU wa mSIMBAzi mmeshikwa pabaya... [emoji1787][emoji1787]
Huyu kocha wa makolo ni wa mchongo pale kati unawezaje kumuanzisha kanoute mzamiru na mkude...
Sema kadi itawabeba
Kwani Chama si yupo? hapa ndio utajuwa Wabongo vichwa vyetu vina matatizo.Mpira una matokeo matatu, kushinda, kudroo na kufungwa, hivyo matokeo yoyote nitayapokea na ligi ni kama na mbio za marathon!!
😂😂😂Mbona unalia sasa[emoji3]
Kwani Bocco Ni mchezaji wa timu ganiIla Simba leo inacheza hovyo sana. Na huyu aliyemuingiza Bocco ni msaliti wa Simba.
Hapana.🤔🤔
Sorry hiyo Avatar NI WEWE mwananchi mwenzangu?
🥰🥰
#YNWA
Upo? Afcon itakuwa chungu leo. 🤣🤣
Kazi ipo.utadhani Simba ndio wapo pungufu
anasaidia kuokota mipiraSasa watu kama huyo Boko si ni mizigo tu uwanjani.
Mlipieni Chuo aende kusoma Ukocha Ughaibuni.
Hao mara nyingi wanakosaga mbona.Una ka uchawi fulani hivi.
Hii imekula kwa Simba Sc, kikubwa ni kutafuta draw.Mpira una matokeo matatu, kushinda, kudroo na kufungwa, hivyo matokeo yoyote nitayapokea na ligi ni kama na mbio za marathon!!
Yaani nimevurugwa😂😂Upo? Afcon itakuwa chungu leo. 🤣🤣
Ngoma inalala hiidakika ya 70, MCC 1- 0 SSC