Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Gsm wanatuhujumu Sana wanasimba MO ametuma dau Kwan refa gsm kaenda tigo pesa kazuia muamala usiende kwa refa

Hujuma.za waz hiz

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Sisi Tumeshamaliza Kazi Jana Tanga...
Wiki Nzima tumeshinda pale Tanga halafu Tufungwe haiwezekani “Haji Manara”[emoji3516][emoji851][emoji123][emoji41]
 
Sawa Leo tumepoteza tutajipanga Kwa mechi ijayo.
Pongezi kwenu vyura Kwa Leo mmejitahidi kutusagia kunguni.
Hakuna kujipanga!
Dirisha dogo wamekenua tu, hakuna cha maana walichofanya.
Wachezaji wengi uwezo umechoka
Kapombe
Morison ujinha mwingi, bocco nae......
 
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]

makolo muli bwanji
 
Wajuvi wa soka mkaribie hapa,, kujibu swali tajwa hapo juu, maana imekuwa gumzo Sasa!!
 
Back
Top Bottom