Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #61
Rudi nyumbani kumenoga-Kulia kwa hii road ni shule ya sekondari lufilyo
-nyuma kidogo kushoto nyumambani kwa prof.mark.
-ukienda mbele kidogo kuna mto ukivuka kuna kijiji cha lufilyo.
kokoa,maembe,parachichi,ndizi na vyakula vya kila aina vipo hapo. Hali ya hewa nzuri pia.
Natamani kama umri ungekuwa unarudi nyuma ningerudisha nikasome tena LUFILYO HIGH SCHOOL.
TrueEcosystems hiyo
Dah.... weee noma sana mkuu wa tunjuniUdogo wake ambao unafanya ionekane kama kimbotela tu
View attachment 2484067wale wa kondoa kaskazini
😄😄 Panafanana na kwababu lamu.Jangwani huku km mko Sudan
Mbeya ndio mkoa ambao umekuwa ukiongoza kutoa timu nyingi zaidi zinazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Miongoni mwao ni Tukuyu Stars (Banyambala), Mecco, Tiger, Mbeya City, Mbeya Kwanza na Ihefu.
mwamunyange beach
Kiteputepu hujakiona?Mbona hujaweka picha za Kyela ?
Mbona hujaweka picha za Kyela ?