masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
-
- #61
Ushamba unakusumbua.Tulia hanauwezo wakurekebisha,hili tatizo la ujenzi holela lipo tangu enzi za Nyerere na wanainchi wengi wanaona fahari kuishi mabondeni na sehemu zisizopimwa
Mbeya kuwa Jiji endelevu lazima iwe mkakati wa namna ya kuishi kistaarabu.Kwanza unaleta picha za gokgiza zamani sana.
Pili Jiji gani Tanzania hii ukitoa Dom na Tanga sio squatters?
Mwisho ndio maana niliandika mada kwamba Wizara ya Kilimo na Jerry Silaa watupishe kwa kuondoa mashamba katikati ya Mji.
Ni upuuzi Kugeuza eneo prime kama la Uyole kuwa mashamba ya mahindi wakati lingefaa Kwa Ajili ya uendelezaji wa Jiji maana ni usoni mwa Mji.
Lugalo iliko ni tofauti na hapo Uyole.Uyole ni CBD na ndio usoni mwa Mji hatutaki mashamba Hilo ni eneo prime la Kuendeleza Jiji na kufuta muonekano mbaya.Mbeya kuwa Jiji endelevu lazima iwe mkakati wa namna ya kuishi kistaarabu.
Nabpengine hujui kuwa Lugalo JWTZ na Chuo Kikee cha DSM sasa vyote vipo katikati ya Jiji la DSM na vime blend-in.
Mmmmhhh!!!???Mtuache Mbeya...Sisi Ni poa tuuu.. Mbeya Ndio Jiji Zuri kuliko Yote East Africa
Uyole ni CBD toka lini? Acha mji uwe na sehemu ya kupumulia. Mkiona eneo lipo wazi manataka mjaze mavibanda, mnadhani ndiyo maendeleo.Lugalo iliko ni tofauti na hapo Uyole.Uyole ni CBD na ndio usoni mwa Mji hatutaki mashamba Hilo ni eneo prime la Kuendeleza Jiji na kufuta muonekano mbaya.
Kama alivyo mama yakoUshamba unakusumbua.
Acha uongo ....kama ndio iv unavyoamini basi hujafika gerezani au ilala kwa miaka zaidi ya 30Mbona hata katikati ya jiji la Dar bado zipo nyumba za tope na vyoo vya shimo, nenda maeneo ya Gerezani, Mishenikota na Ilala yote.
Kwa io km ilala haijapangwa ni sawa mbeya kuwa na slum kila kona?Sawa! Bahati nzuri majiji yote nayafaham. Mimi nipo jiji la Ilala mkoa Dar salaam. Angalia Ilala ni asilimia ngapi imepangwa, mkoa mzima wa dar achilia maeneo machache yaliyopangika aehemu kubwa iko hovyo mkuu!
Aisee........kuna watu bado hawastaarabika katika kuendeleza miji.Mnaishi maisha ya nyuki
Mnarundikana sehemu moja halafu mnaenda kutafuta mahitaji hata maili kumi
Nchi nzima inatakiwa ibadilike na irudi kama zamani
Yaani serikali ingehamisha watu na hata kubomoa hayo mabanda na mazizi na kuweka hata garden za kupummzika mji upumue
Yaani wao wanaona sawa tu mkuuAisee........kuna watu bado hawastaarabika katika kuendeleza miji.
Wanaoshabikia Mbeya kama ilivyo ni generation ambao wazazi wao ndo kwanza wametoka vijijini.Yaani wao wanaona sawa tu mkuu
Hawajui kwanini wenzetu wanaendelea
Kweli kabisa 😂😂Mbeya wakajifunze kwa wenzao wa Kilimanjaro.
Zipo hizo nyumba hazijanunuliwa, ila hazitusaidii chochote.Acha uongo ....kama ndio iv unavyoamini basi hujafika gerezani au ilala kwa miaka zaidi ya 30
Kuna watu pori wanashabikia ushamba.Kwa io km ilala haijapangwa ni sawa mbeya kuwa na slum kila kona?
IwambiMkuu! Mbeya kuna block T, forest mpya, forest ya zamani, jacaranda, block Q, kuna eneo kama unaenda mbalizi nimepasahau jina mbele ya iyunga, huko Ghana, na kuna maeneo nimeyasahau majina yako vizuri sana.
MafiatiKwan mbeya city centre ni wap?
Uhindini hiyo. Hapo mbele kidogo ni Mbeya Peak Kwa kina Lusajo. Wana supu ya mbuzi nzuri sanaView attachment 2827604
Siyo kwamba sehemu zote Mbeya ni Mbaya, lakini over 90 % ni sehemu haziko kwenye kupangwa kimji.
Bila shaka mtoa mada umemuelewa.Kwa io km ilala haijapangwa ni sawa mbeya kuwa na slum kila kona?