Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

Mbeya ni mji wa kipuuzi sana, hamna cha maana zaidi ya ushirikina tu
 
Wee utakuwa bumunda! Hivi kwa akili yako Spika ana nafasi gani katika maendeleo ya Jimbo? Labda mnataka aanze kumlamba Samia nyayo vinginevyo mwacheni akomae kuongoza Bunge, ndiyo kazi anaweza!
Nyie ndo mnasubiri kuwekezwa na mwarabu, maana kufikiria maendeleo ninyi wenyewe hamuwezi.
 
Jiji la wachuna ngozi ni laana tupu, hakuna chochote cha maana kule zaidi ya uchawi tu
 
Tanga asilimia zaidi ya 90 ni planned
 
Isyesye
Iwambi
Majengo
Uhindini
Forest mpya na
Ya zamani
Kote hampaoni mmekazana na
Ilemi
Ilolo
Old airport
Na mafiat
Hatukatai mji hauja pqngwa Ila sio Kama mnavo sema nyinyi bhana
Ukweli usemwe ,asilimia zaidi ya 70 mbeya ni slum
 
Ni zaidi ya 70% mkuu, inaenda 90% na Wiazra ya Ardhi mkoani ipo, RC yupo, watu wanajenga kiholela tu, serikali imekaa kimya. Dr Tulia hili lazima liwe jukumu lake kuiamsha serikali .
 
Nyie ndo mnasubiri kuwekezwa na mwarabu, maana kufikiria maendeleo ninyi wenyewe hamuwezi.
Hivi kwa kutumia ujinga wako umejiridhisha kuwa kichwa cha Tulia kina uwezo wa kufikiria maendeleo? Kama ameshindwa kutambua rasilimali za nchi zinaporwa anawezaje kujua mahitaji ya jiji la Mbeya!
 
Kichwa chako hata kudadavua na kifikiria tatizo imekushinda, sembuse solutions.
Si lazima ku comment kitu usichokijua au kuelewa.
Mambo ya akili waachie wenyewe Great Thinkers!
 
Very true, sababu mojawapo viongozi wanaopelekwa mbeya hawaisaidii mbeya bali wanaivuna mbeya pasipo faida kwa mbeya yenyewe. Baraka na maisha ya Mbeya ni Mungu , serikali za CCM na CCM yenyewe hamna kitu wanafanya.
 
Mwanamke kibwengo hana akili yule
 
Very true, sababu mojawapo viongozi wanaopelekwa mbeya hawaisaidii mbeya bali wanaivuna mbeya pasipo faida kwa mbeya yenyewe. Baraka na maisha ya Mbeya ni Mungu , serikali za CCM na CCM yenyewe hamna kitu wanafanya.
Very true!
CCM inajiangusha yenyewe Mbeya kwa kuitelekeza.
 
Mkuu nidhamu kitu cha maana sana
Wangedhibiti yasingetokea haya
Ila kwa tamaa za wachache wanaweza kuuza mpaka barabara
Huwa nikiangalia wazungu nasema hapa sihami 😄 🤣
 
Kichwa chako hata kudadavua na kifikiria tatizo imekushinda, sembuse solutions.
Si lazima ku comment kitu usichokijua au kuelewa.
Mambo ya akili waachie wenyewe Great Thinkers!
Great Thinker hata hufahamu miradi inaandaliwa vipi! Wewe unadhani kwa kuwa Tulia ni Spika basi ana mamlaka ya kuamua fedha za umma zikatumike wapi!

Nonsense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…