Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Thread was deleted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya ni kubwa mkuu. Sio kila sehemu ina baridi. Wilaya ya Kyela kiujumla ina joto sana. Ipinda ipo Kyela so huko ni joto mno.Na baridi ya mbeya unamuwahisha mtoto saa 12 kisa kushika namba ...
Hao walimu ni wapuuuzi kabisa.
Watu baridi zina wapanda vichwaniNa baridi ya mbeya unamuwahisha mtoto saa 12 kisa kushika namba ...
Hao walimu ni wapuuuzi kabisa.
Sawa mkuu.....ila still ni mbeyaUsiseme mbeya, sema kyela
Hawapaswi kuonewa huruma hawaWahuni hao wakidaka wakatwe pumbu zao zinazowapa jeuri, sitaki kusikia habari haki za binadamu kwenye comment yangu
Shule nyingi za Tanzania ni kama kambi za adhabu. Unakuta waalim walionuna, muda wote ni amri, watoto wanapigwa hovyo. Sasa kweli saa 12 asubuhi yote mtoto awahi shule kwenda kufanya nini? Ndiyo maana wakikuwa na kuwa viongozi au wataalam, wanakuwa na roho mbaya ya kuiba na kifisadi bila kujali lolote.Na baridi ya mbeya unamuwahisha mtoto saa 12 kisa kushika namba ...
Hao walimu ni wapuuuzi kabisa.
Ndio wakatwe pumbu zao vifuko vyote vifonyolewe, haki za binadamu kaeni mbali na hii commentHawapaswi kuonewa huruma hawa
ngoja mpaka ubakwe 😎😎Acheni uongo Mimi nipo ipinda hapa na hakuna kitu kama icho