Mbeya: Kikundi cha kihalifu maarufu kama vibeberu com chabaka wananchi mchana kweupe

Mbeya: Kikundi cha kihalifu maarufu kama vibeberu com chabaka wananchi mchana kweupe

Mi nadhan wangekuwa wanaviua kwa mstakabali mwanana wa taifa.vinazaliwa na kuongezeka ili visizaliwe tena.
 
Shule nyingi za Tanzania ni kama kambi za adhabu. Unakuta waalim walionuna, muda wote ni amri, watoto wanapigwa hovyo. Sasa kweli saa 12 asubuhi yote mtoto awahi shule kwenda kufanya nini? Ndiyo maana wakikuwa na kuwa viongozi au wataalam, wanakuwa na roho mbaya ya kuiba na kifisadi bila kujali lolote.
Saa kumi na mbili kuripoti, saa moja kuhesabu Namba, baada ya hapo usafi wa mazingira, vyoo nk, baada ya hapo saa 1:30 ukaguzi kwa wanafunzi pamoja na matangazo, saa mbili kamili darasani.

Kama unaona watoto wako wanaonewa peleka Toto lako international school, mnajifanya wajuvi kumbe bure tu, hamjui hata mtaala wa Elimu unasemaje, unadhani sisi walimu tunapenda kuamka saa kumi na mbili?? Au Ni kwasabu mtaala na kanuni zinatutaka tufanye hivyo!!
 
Alifungulie shule alifundishe mwenyewe.
 
Kikundi cha ubakaji maarufu kama 'Vibeberu.com' kilichopo Kijiji cha Ipinda Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, kimezua taharuki baada ya kudaiwa kufanya vitendo vya ubakaji kwa watoto.

Inadaiwa kikundi hicho kimekuwa kikifanya vitendo hivyo vya ubakaji mchana kweupe hali inayowatia hofu wakazi wa eneo hilo.

Akizungumza mmoja wa walimu wa Shule ya Msingi Ipinda (jina limehifadhiwa) amesema kitendo cha walimu kuwaagiza wanafunzi kuwahi saa 12 asubuhi kushika namba shuleni, kimechochea hatari ya watoto kubakwa, hivyo ameomba wanafunzi waongezewe muda walau saa moja asubuhi.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Erick Komba amesema idadi ya watoto walioripotiwa kubakwa ni zaidi ya watoto 8 ambapo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini watuhumiwa na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria.

Chanzo: Swahili times
ao vibeberu wakikamatw na wao wafanyiwe km wanavyfanya wao
 
Yaan nimeanza kuuona uzi kabla ya tag yako nikasema hii mbweha ikiona tu lazima initag lahaula nashuka chini naona tag yako 😂
Lazimaaa tuu me nilivyo siwapendi WANYAKYUSA 😤
 
Back
Top Bottom