Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

Duuuh selikari zetu

Zina maajabu mengi machifu na wachungaji wanafanya ibada sehemu moja
 
aaah home mwaisa, mlima loleza nimeupanda sana tangu mwaka 2004 (form II), 2005 (form III) na 2006 nikiwa form IV pale Nazarene Sec School, tulifurahia sana jamani, kila jumamosi tulikuwa tunapanda mlimani tukiwa na mziki, tukifika juu huko tunaweka mziki tunaanza kucheza. Wanafunzi wa shule mbalimbali jamani πŸ˜€ πŸ˜€
 
Picha ya Mt. Loleza haijatenda haki. Hii hapa nilipiga mimi last December nikiwa barabara ya Mbeya Day-Magereza. Imekua wallpaper kwenye PC yangu ever since.

View attachment 2370027
kuhusu loleza mimi nilipiga picha hii mwaka 2018 kutoka kwenye view ya dirisha la hotel niliyofikia. ilikuwa around december, ila nashangaa sijui kwanini mlima ulikosa ile greenish yake iliyozoeleka

hii picha niliwahi ku share kwenye kwenye page yangu kule instagram. kwasasa picha haipo public, nime archive.
 
Mashetani yake yalikuwa jau
ali stick na watu wa pwani kwasababu they were weak, too religious, loyal hence easy to rule.

nyerere aliogopa sana kuji involve na watu kutoka ktk strong tribes/communities. alihisi wangekuja kumpindua.

refer to what he did to kambona, tumtetemeke sanga and the likes.
 

Hapo ni Floor ya pili pale Holiday Hotel! Vyumba safi kwa 20k Mbeya maisha poa sana
 
Tumogheleee Green City[emoji91][emoji91][emoji91]
 
umesahau matema beach,samaki mbasa na mbelele,na kijito flani huko ileje cjui,ukikiruka kinapanuka unazama,na ndo kwaheri,,,maji moto kilambo nk
 
Uko sahihi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…