binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
na barabara za mitaa aiseee!Tatizo la Mbeya ni ujenzi wa nyumba za ajabu ajabu na holela...
Ila wanaume wa mbeya wajengewe sanamu Pale mama john 😀 Mi nammiliki mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na barabara za mitaa aiseee!Tatizo la Mbeya ni ujenzi wa nyumba za ajabu ajabu na holela...
Kuna mkuu wa mkoa alikuwa anaitwa Quares mtu wa Mbulu, aliwadhihaki wana Mbeya, akapotezwawatu wa mbeya wajifunze kujenga nyumba.
CC: Bujibuji Simba Nyamaume
inaonekana upo so desperate na kila kinachoandikwa jf.....vingine havihitaji serious attention, vitakupasua kichwa....chukulia ni sehemu tu ya kunogesha uzi.Buji anawajua watu wote wa mby?
Duuuh selikari zetuMlima iwambi, pana mteremko mrefu malori huwa yanafeli breki sasa chakushangaza hili eneo halifanyiwi ukarabati badala yake kila mwaka hawa watu wa mbeya pamoja na makanisa yao mengi huwa wanawaita machifu na wazee wa kimila ili kufanya tambiko.
Sio stori jana tarehe 26 kwanzia asubuhi sa 3 barabara ilifungwa kwa saa 2 kupisha zoezi la tambiko.
Imagine tatizo ni mteremko mkali na ubovu wa magari ndio chanzo cha ajali lakini wenyewe wanafanya tambiko.
kuhusu loleza mimi nilipiga picha hii mwaka 2018 kutoka kwenye view ya dirisha la hotel niliyofikia. ilikuwa around december, ila nashangaa sijui kwanini mlima ulikosa ile greenish yake iliyozoelekaPicha ya Mt. Loleza haijatenda haki. Hii hapa nilipiga mimi last December nikiwa barabara ya Mbeya Day-Magereza. Imekua wallpaper kwenye PC yangu ever since.
View attachment 2370027
Ila wanaume wa mbeya wajengewe sanamu Pale mama john 😀 Mi nammiliki mmoja.
Alizingua sana kwa kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mashetani yake yalikuwa jau
Ni vituo vya roma huwa wanaenda kusali kipind cha kwaresmaMlima Loleza niliupanda 2004 hadi kule juu kwenye mnara hivi ni kwa nini kila ukitembea umbali flani kutoka pale Hospital ya rufaa kuukwea mlima kuna misalaba?
ali stick na watu wa pwani kwasababu they were weak, too religious, loyal hence easy to rule.Mashetani yake yalikuwa jau
kuhusu loleza mimi nilipiga picha hii mwaka 2018 kutoka kwenye view ya dirisha la hotel niliyofikia. ilikuwa around december, ila nashangaa sijui kwanini mlima ulikosa ile greenish yake iliyozoeleka
hii picha niliwahi ku share kwenye kwenye page yangu kule instagram. kwasasa picha haipo public, nime archive.
View attachment 2370075
Tumogheleee Green City[emoji91][emoji91][emoji91]Mbeya ni mkoa mzuri sana kijografia, ukiwa umezungukwa na milima na vilima. Mito na vijito, hali nzuri ya hewa, udongo mzuri wenye rutuba na mambo mengi mazuri.
Watu wa Mbeya ni wakarimu sana, watoaji na wenye upendo, ila ukiwazingua wanakuzingua mara milioni sita zaidi.
Mbeya kuna mandhari ya kuvutia. Kuna vivutio kibao vya utalii, kama kona ya taifa, hii ni bonge ya kona, iko kwenye barabara ya lami itokayo Cape Town Afrika ya Kusini kwenda Cairo Misri kupitia Chunya kwa Masache Kasaka a.k.a Man Kasa mbunge wa Lupa Chunya.
Hii ni picha ya kona ya Taifa, iliyopigwa na Fadhy, Fadhili Mtanga, mpishi anaye andika na kupiga picha.
View attachment 2369893
Kivutio kingine ni ziwa Masoko.
View attachment 2369896
Hili ni ziwa lililoko mlimani, crater lake. Ziwa hili limekaa mithili ya lulu ipatikanayo kwenye samaki aina ya chaza (Oysters). Lulu hiyo kwa Kinyakyusa huitwa pearl.
Mbeya imejaaliwa bwana, pia juna ziwa Kisiba, ziwa la msituni. Ziwa hili liko kwenye msitu asilia, ile misitu inayojulikana kwa jina la rain forest. Hutojuta kabisa kufika mahali hapa.
View attachment 2369898
Kwa wanaopenda kuoanda milima, Mbeya ni mahali sahihi kabisa kwa burudani hiyo. Kuna mlima Loleza, huu ni mlima mzuri sana na rahisi kupanda na wala hauko mbali na mji.
Shule ya sekondari ya wasichana ya Loleza ilipewa jina hili kwababu iko chini ya Mlima Loleza.
Picha hii ilipigwa na Fadhy, Fadhili Mtanga ikionyesha mlima Loleza unavyoonekana ukiwa Mwanjelwa, pale mahali ambapo soko liliungua. Nimepamiss sana home.
View attachment 2369902
Mlima Rungwe, mlima huu una urefu wa meta 2,981. Mlima huu uko wilayani Rungwe. Unakaribishwa sana kutembelea mkoa huu, wenye neema nyingi za kutosha.
Picha mbili zikionesha mandhari tofauti za mlima Rungwe.
View attachment 2369911View attachment 2369914
umesahau matema beach,samaki mbasa na mbelele,na kijito flani huko ileje cjui,ukikiruka kinapanuka unazama,na ndo kwaheri,,,maji moto kilambo nkMbeya ni mkoa mzuri sana kijografia, ukiwa umezungukwa na milima na vilima. Mito na vijito, hali nzuri ya hewa, udongo mzuri wenye rutuba na mambo mengi mazuri.
Watu wa Mbeya ni wakarimu sana, watoaji na wenye upendo, ila ukiwazingua wanakuzingua mara milioni sita zaidi.
Mbeya kuna mandhari ya kuvutia. Kuna vivutio kibao vya utalii, kama kona ya taifa, hii ni bonge ya kona, iko kwenye barabara ya lami itokayo Cape Town Afrika ya Kusini kwenda Cairo Misri kupitia Chunya kwa Masache Kasaka a.k.a Man Kasa mbunge wa Lupa Chunya.
Hii ni picha ya kona ya Taifa, iliyopigwa na Fadhy, Fadhili Mtanga, mpishi anaye andika na kupiga picha.
View attachment 2369893
Kivutio kingine ni ziwa Masoko.
View attachment 2369896
Hili ni ziwa lililoko mlimani, crater lake. Ziwa hili limekaa mithili ya lulu ipatikanayo kwenye samaki aina ya chaza (Oysters). Lulu hiyo kwa Kinyakyusa huitwa pearl.
Mbeya imejaaliwa bwana, pia juna ziwa Kisiba, ziwa la msituni. Ziwa hili liko kwenye msitu asilia, ile misitu inayojulikana kwa jina la rain forest. Hutojuta kabisa kufika mahali hapa.
View attachment 2369898
Kwa wanaopenda kuoanda milima, Mbeya ni mahali sahihi kabisa kwa burudani hiyo. Kuna mlima Loleza, huu ni mlima mzuri sana na rahisi kupanda na wala hauko mbali na mji.
Shule ya sekondari ya wasichana ya Loleza ilipewa jina hili kwababu iko chini ya Mlima Loleza.
Picha hii ilipigwa na Fadhy, Fadhili Mtanga ikionyesha mlima Loleza unavyoonekana ukiwa Mwanjelwa, pale mahali ambapo soko liliungua. Nimepamiss sana home.
View attachment 2369902
Mlima Rungwe, mlima huu una urefu wa meta 2,981. Mlima huu uko wilayani Rungwe. Unakaribishwa sana kutembelea mkoa huu, wenye neema nyingi za kutosha.
Picha mbili zikionesha mandhari tofauti za mlima Rungwe.
View attachment 2369911View attachment 2369914
Uko sahihi kabisa!Mbeya ni mkoa mzuri sana kijografia, ukiwa umezungukwa na milima na vilima. Mito na vijito, hali nzuri ya hewa, udongo mzuri wenye rutuba na mambo mengi mazuri.